Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
mpaka apatikane mshindi..Sionagi faida ya kulaani kisiasa, peleka majeshi au nenda mwenyewe uwe mstari wa mbele.
Hizi kauli za kulaani vikali ilhali unajua fika kinachohitajika ni mapigano ni unafki huo.
Mimi nasema kama wameamua kuchapana acha wachapane mpaka apatikane mshindi.
Oktoba 7 mlikuwa wapiTunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni mtoe maoni
Siamini katika taasisi wala jumuia za Kiislam.Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni mtoe maoni
Mmeanza,Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni mtoe maoni
Hizo jumuia ambazo hata kukemea yanayoendelea hapa nyumbani ni kwa shida?Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni mtoe maoni
Sijakuelewa.
amewaachia amani !Sijakuelewa.
Naona hoja imekuwa ngumu kwako.
Hiyo taasisi ya kiislamu ililaani alipouawa Joshua na molleli watanzania wenzetu wasio na hatia mimi naona israel iendelee kuwafuta hamas wote mpaka na vizazi vyao vyoteWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na manyanyaso makubwa Kwa miaka mingi lakini hawajakata tamaa huku bado wanaendelea kupigania haki zao.
Ni muda muafaka kusikia kauli kutoka kwa jumuiya husika hapa tanzania
Karibuni mtoe maoni
October 7 hao hamas walivyobaka, walivyolawiti, walivyoua wayahudi na kuwachoma moto watoto wadogo wengine wakawateka huyu mtume hakufuwafundisha muache uchokozi kwa makafiri matokeo yake makafiri wanakuja kuua wapalestina wengi kama kuku sasa hii jihadi gani?Siamini katika taasisi wala jumuia za Kiislam.
Uislam aliotufundisha Mtume, dua njema na amani ziwe juu yake, Muhammad haujawacha taasisi wala jumuia. Ametuwachia Uislam tu.
Kama ni taasisi au jumuia zilishaasisiwa zamani sana, nazo ni Uislam na katiba yetu ni Qur'an.
Matamko yw kumbgoja fulani ayatamke sijui nini, hayana faida yoyote.
Tuzuwie maovu kwa Mikono (vitendo), kama hatuwezi tuzuwie kwa mdomo, kila mmoja wetu aseme na kulipinga lililo-ovu na si kungoja fulani atusemee. Kama huwezi hili basi lichukie hilo ovu moyoni mwako, kwa kuzidisha dua, salat na subra ili uyaweze hayo mengine au wanaoyaweza Allah aendelee kuwawezesha zaidi na Zaidi.
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na manyanyaso makubwa Kwa miaka mingi lakini hawajakata tamaa huku bado wanaendelea kupigania haki zao.
Ni muda muafaka kusikia kauli kutoka kwa jumuiya husika hapa tanzania
Karibuni mtoe maoni
hahaha gaidi limekufa mdomo wazi...this made my day.
Wewe mbona mnasalimiana kiarabu na hata majina mnayo ya kiarabu. Je, huo siyo utumwa.Sijui km umeeleweka, kujua hyo lugha ni utumwa na kuitumia siyo fahari, ni aibu na upumbavu
Ndugu zenu eti mtu wa kibaha? Have you eaten today?Wadau hamjamboni nyote?