Tunasubiria Kuona Utekelezaji wa "No reform, No Election" ya Tundu Lissu

Usitulishe mameno tunao utaratibu wetu kichama.
 
Andika tusi moja la kwangu hapa nakulipa 100,000 kila tusi. Tatizo hutaki haki itendeke.
 
Kibaraka ni huyo bibi wa kizanzibari anayeuza raslimali za Tanganyika kwa waarabu
 
Unatapatapa sana, relax
 
Sawa na asante kwa ushauri.

Acha ujuaji alafu ujui
Kawaondoa wamasai kwenye makazi yao kisa wajomba zake
Dp world ndio katoa zawadi kwa wajomba zake
Nakadhalika.
Toa kupunguani.wako.,watu wanaomdolewa.kisa kutunza hifadhi unaleta uzushi ?

DP World amefanya nini si ni mwekezaji kama wengine au wewe unaona.ni.nani?

Tatizo ni kuwa Waarabu au? Wangekuwa ni wale mabwana zenu Wabelgiji kusingekuwa na shida maana hapo bandarini wapo pia Adani ya India siwasikii.makelel yenu ya kipumbavu
 
Sawa ila soon itanyesha alafu tutajua wapi panavuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…