Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Bwana Lisu alimaarufu kibaraka kwenye Kampeni zake ukiachilia mbali kuchafua wagombea wenzake pamoja na Rais ila mojawapo ya ajenda yake kuu aliyowapigia fix Wajumbe wa Chadema ni kwamba kama hakuna Katiba Mpya na Tume Huru hakutakuwa na uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2025.
Sasa sisi Wajumbe tuliompa kura tunasubiria Kwa hamu.kubwa kuona kama atasimama kama.mgombea Urais Kwa Katiba hii hij na Tume hii hii au atatumiza ahadi yake ya kuvuruga uchaguzi?
Tuko palee tunasubiria Kwa hamu na gamu
View: https://www.instagram.com/p/DFHlY86RWrU/?igsh=MTZhcXk3N3F0NmpuNA==
Usitulishe mameno tunao utaratibu wetu kichama.