Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Mungu muumbaji aliyeruhusu mambo mabaya ulimwenguni haingii akilini mwangu, ni Mungu aliyechongwa na wazungu. Kitendo tu cha kumtoa mwanae kafara aliruhusu ubaya ulimwenguni. Angalia Sasa mtu anavyomtoa mwanae mpendwa kafara ili apate utajiri.
 
Pamoja na yote uliyoorodhesha hapo MUNGU anabaki kuwa MUNGU tu. Hajawahi kukosea, Hakosei, na Hatakaa akosee.

God does not have common sense because He is not in common with any Creature!
 
Mungu muumbaji aliyeruhusu mambo mabaya ulimwenguni haingii akilini mwangu, ni Mungu aliyechongwa na wazungu. Kitendo tu cha kumtoa mwanae kafara aliruhusu ubaya ulimwenguni. Angalia Sasa mtu anavyomtoa mwanae mpendwa kafara ili apate utajiri.
Yesu amekufa msalabani ili tuu kila mwanadamu asamehewe dhambi zake.

Hii ni sacrifice ambayo hakuna ulimwenguni.

Ni nani anayeweza kumpenda mwanadamu kiasi cha kukubali kusulubiwa na kufa ili tuu apate msamaha na uzima wa milele?

Hakuna.

Sacrifices are super powerful than anything in this universe

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
🤣
 
Acha kuhangaika na mambo ambayo yako juu sana kuliko uwezo wako we kahangaike na uchambuzi wa mambo yetu ya humu duniani. Mungu mwenyewe ametuambia upumbavu wake uko sana kuliko akili zenu.
🤣Ya duniani ndo yapi wakati Mungu mwenyewe kaundwa duniani
 
So kwako kumtukana mzazi na kufanya ushoga ni sawa?

Sheria za Mungu wa Yesu Kristo ni safi na amini.
 
Kwa kuwa Mungu ni mweza ya yote, angesema tu neno na sio kumtoa mwanae kafara. Angalia sasa binadamu kagundua kuwa kafara inalipa.
 
Nonsense Mungu hakuruhusu waisrael wafanye dhambi na kila wakifanya dhambi huwa wanaadhibiwa.
 
Sijapenda lugha yako ungetumia tafsida. Ningekuwa mod ningekufungia kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…