Tunatoa maadili kutoka kwenye Biblia? Kama Ni kweli, Mbona Mungu Hana Maadili?

Mkuu naomba unisaidie kunieleza hapa🙏🙏
For social purposes and selfish reasons, the human ego aims at appearing as egoless as possible as a form of social manipulation.

Kwasababu tokea zamani binadamu waligundua kuwa ili aishi kwa urahisi zaidi kwenye hii Dunia sio akiishi mwenyewe, bali ni pale atakapokubalika na jamii anayoishi maana akiimasta atapata chochote anachotaka (food,shelter,clothing,mate etc.)

Ndio maana watu wana fake smile, wanajipendekeza kwa maboss nk. wanaact like they care about others(friends, relatives nk ) but only due to their selfish reasons.
They are purposely trying to show they are virtuous.

We ungependa kuishi na rafiki gani? Yule anaekuchukia ila anakualika kwake kinafiki ili akuonyeshee tv yake mpya, au yule asiye mnafiki hakufichi kitu akichukia kwako?

Oftenly wale watu wanaojaribu kuonekana ni egoless huwa ni selfish kuliko wale wanaoonekana wana ego/wanaringa etc. Kwasababu hawafichi nature ya ukweli ya binadamu. They are real . (Eg. Trump vs Biden)

Interestingly, mtu aliye na true virtue huwa hajaribu kuwaonyeshea watu kuwa ana virtue. Bali hufanya mambo bila yeye kujua kama ni virtuous ila anafanya Kwasababu hana sababu ndivyo alivyo tu.

Ni kama mama kumnyonyesha mtoto wake, hafanyi vile akiwa na agenda yake sijui ili apendwe na mtoto ila anafanya purely kwa mapenzi ya ndani. Na akiona nyumba inaungua mtoto wake yumo ndani hatojiuliza mara mbili kuingia kumuokoa.
Yani anafanya virtue bila kufikiria na wala kujijua kwa kuasses the gain.

Consequently, watu wengine ni actors wanaact kama sio selfish when deep down wanajijua kabisa the number one interets they are trying to protect are theirs.

They are selfishly trying to look selfless.
 

Jwabu la kimantiki ni hili hapa;

1. Mungu ni mtunga "sheria X" aliyetunga sheria isemayo "usifanye kitu Y"

2. Mtunga sheria anayo mamlaka ya kutengua sheria kwa muda au jumla.

3. Kwa hiyo, Mungu anapofanya kitendo kinachoonekana kuvunja "sheria X" wakati huo anakuwa amebatilisha kwa muda "sheria X"

4. Kwa hiyo Mungu wa Biblia ni mwadilifu kila wakati na kila mahali.

cc. FaizaFoxy
 
Unamatumaini yasiyo na mantiki.

Matumaini potofu
Matumaini na unachokiamini wewe hakina tofauti na matumaini na anachokiamini yeye, hukumu yako juu yake haijatenda haki unayotamani wewe juu yake aelewe unavyoelewa wewe, maana ana haki ya kuamini anachoona ni sawa kuliko unavyotamani aamini unavyoamini wewe kua ni sawa..
 
Ila bora Mungu huyu kuliko mnyaazi mwenyewe maana mnyaazi anafix kwanza ukija na kiswahili chako hakuskii ngomq mpaka uiseme kiarabu. Kwani kwenye kitabu cha kuru1 Mungu wa kule naye si anatoa ahadi za madem 70 mkifa anatoa ahadi ya mito ya pombe imagine unakutana na mungu mlevi alafu anamadem 70😂😂😂😂
 
Mfano ile''..AKAMWAGIA NJE'',..
Basi tutazame mfano wa mwanadamu alivyounda AI, (Artificial intelligence ) unahisi analenga nini?
Ukipata jibu jiulize unachohisi hakipo sawa kwa unaempinga mbona ndicho binadamu amekiazimia kwenye AI?
 
Matumaini yake ni potofu kwasababu ni hearsey zaidi hayana fact hata moja.

Then mimi siamini kitu.

Hivyo bhasi kauli yako hii unaposema
Matumaini na unachokiamini wewe hakina tofauti na matumaini na anachokiamini yeye, hukumu yako juu yake haijatenda haki unayotamani wewe juu yake aelewe unavyoelewa wewe,
Ni batili.

Matumaini yake ni potofu na hukumu yangu inatenda haki haijalishi haki yake ya kuamini atakacho,
kwamaana sijaiingilia wala kuiharibu kivyovyote vile.
 
Biblia haisomwi kama hadithi za AbuuNuwas!Ni hivyo tu.
Hii huwa ni kauli ya mwisho ya kutetea kitabu chenu kilichosheheni hadithi za uongo zenye kujipinga zenyewe.

Yaani ni full of contradiction tu humo kiasi cha kuonesha kuwa kimetungwa na watu wajinga wa zama za giza, tena wasiojua hata jua linaenda wapi usiku.
 
Huyo Mungu kweli yupo au ni hadithi tu za uongo zilitungwa na watu!?

Unajuaje dhana ya Mungu kuwa ni kweli!?
 
Unasoma kwa mawenge na tena bila kuomba miongozo,unatarajia nini?Na si wewe tu.Kuna wanaofanana nawe ambao huingia hadi darasani kuilewa lakini wanabaki na ujinga wao daima dumu.
 
Kwanza naamini una Baba mzazi, naamini kakuzaa kakulea ktk "Do" and "Dont" sina hakika kama umewah kumuuliza why hakukuacha free ukajikulia km kitoto cha mjusi au nyoka maporin, hata hao viumbe wanalelewa na wazazi wao, wanafundishwa do na dont, unahisi ni kosa Mungu kutoa maelekezo ya Do na Dont?

Mwanadamu au viumbe wakitokwa na kile kinachowafanya waweze kutenda wanachopenda wanakufa, unahisi ww unaweza kukishika hcho kinachokufanya uwe hai au kukiona kwa macho? Una uhakika una roho wewe? Au una uhakika wewe sio AI/robot la jamii fulani huko mbali sana?
Kama unahisi hivyo...mkuu wa hiyo jamii ndie Mungu tunaemuabudu..na hana mzaha pindi umezngua donts zake, km robot inavyokosea ikapita kwenye magnet area...ukibisha vunja amri za Mungu za Dont hapa dunian, utajua hujui...
 
Unasoma kwa mawenge na tena bila kuomba miongozo,unatarajia nini?Na si wewe tu.Kuna wanaofanana nawe ambao huingia hadi darasani kuilewa lakini wanabaki na ujinga wao daima dumu.
Hujaziona hata contradiction zenyewe lakini unaanza kulaumu kuwa tuna mawenge.

Nkikupa contradiction hapa wewe utaweza kuzitatua ambae huna mawenge!?
 
Hujaweza kuthibitisha kama kweli huyo Mungu yupo.

Unahubiri tu.

Neno "Mahubiri" kwangu huwa linamaanisha "matango pori"

Mwanadamu au viumbe wakitokwa na kile kinachowafanya waweze kutenda wanachopenda wanakufa, unahisi ww unaweza kukishika hcho kinachokufanya uwe hai au kukiona kwa macho
Unaposema "unaweza kukishika kinachokufanya kuwa hai au kukiona kwa macho.."

Wewe unajua ni kipi/kitu gani kinafanya kiumbe kuwa hai hadi unauliza kushikika na kuonekana kwake?

Unaelewa hata uhai ni nini?
Una uhakika una roho wewe?
Roho ni kitu gani!?
Kama unahisi hivyo...mkuu wa hiyo jamii ndie Mungu tunaemuabudu..na hana mzaha pindi umezngua donts zake, km robot inavyokosea ikapita kwenye magnet area...ukibisha vunja amri za Mungu za Dont hapa dunian, utajua hujui
Natambua Kuna Miungu zaidi ya 3000+
Kila jamii hujinasibu kuwa Mungu wake ni wa kweli, na kwenye hao miungu na idadi zao kila mmoja anazo amri zake tofauti na miungu wengine.
(uwepo kama dhana, sio katika uhalisia)

Wewe unamuongelea Mungu yupi?

Kabla ya yote Unaweza kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu wako na kuonesha kuwa wale walio kwenye jamii zingine ni Miungu wa uongo!?
 
Unasoma kwa mawenge na tena bila kuomba miongozo,unatarajia nini?Na si wewe tu.Kuna wanaofanana nawe ambao huingia hadi darasani kuilewa lakini wanabaki na ujinga wao daima dumu.
Kwanini neno la huyo Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote lina ukakasi kiasi hiko!?

Yanini mimi kumsoma kumuelewa kwenye kitabu chake hadi nitafute miongozo mingine.?

Unahisi muongozo sahihi wewe unaujua!?

Kama kweli Mungu huyo yupo, wala hata kusingehitajika nguvu kubwa namna hii kumuelewa kwa kusubiri miongozo mingine nje ya kitabu chake.
Huyo mungu kama kweli angekuwepo kwanza kusingekuwa na haja ya kitabu wala wahubiri.
Kwavile hajawahi jitokeza kujihubiri yeye mwenyewe huo ni udhihirisho kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.
 
Even if the God-hypothesis is ontologically fictional yet it is functionally true
How do you know if it is true in terms of functionality? Can you prove that this functionality is real and derived from God?

Since you said "God hypothesis is ontologically fictional" this means its a falsehood, then even the functionality you mentioned would merely be a placebo and nothing else."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…