Haiwezekani mitaani kuwe na stand kila mahali,Jibu unalo. Bandari na Airport zinakuwa static tofauti na stendi ya mabasi ipo flexible sana.
Nchi zilizoendelea zinatumia treni wewe kizibo na vituo vya treni vinakuwa vingi tele kwenye jiji.Haiwezekani mitaani kuwe na stand kila mahali,
Hilo halipo popote duniani kwenye inchi zilizoendelea.
Unaposafiri jipange..
Miaka ya 80/90 mabasi yalikuwa kisutu na watu walikuwa wanakwenda na hapakuwa na ofisi mitaani..
Na hakuna malalamiko.
Mabasi yalikuwa ubungo na hakuna malalamiko.
Kwann Stand ya Magufuli malalamiko lukuki?
Wanaolalamika wengi wana maslahi na ofisi kuwa mitaani.
Aiseeh! Tanga si wanakalamika Kila siku stendi haitumiki mpaka wanataka kubadilisha matumizi
Tanga wanalalamika kwa sababu stand ya kange haitumiki kwa 100%.Aiseeh! Tanga si wanakalamika Kila siku stendi haitumiki mpaka wanataka kubadilisha matumizi.
Aiseeh! Tanga si wanakalamika Kila siku stendi haitumiki mpaka wanataka kubadilisha matumizi
Tanga wanalalamika kwa sababu stand ya kange haitumiki kwa 100%.Aiseeh! Tanga si wanakalamika Kila siku stendi haitumiki mpaka wanataka kubadilisha matumizi.
Ubungo na Kigamboni.Wajenge stendi nyingine Bunju, Mbagala na Gongo la Mboto
Wazo jepesi ni kuwa Magufuli alikuwa sahihi kujenga hiyo stendiNchi zilizoendelea zinatumia treni wewe kizibo na vituo vya treni vinakuwa vingi tele kwenye jiji.
Ni upumbavu mtupu kufikiria hiyo stendi yenu moja tu mnayotokwa nayo povu inaweza kuhudumia watu milioni 7 wa Dar es Salaam.
Ubungo pangetosha?, vitu vingine sio vya kupinga. Inawezekana hata hapo Ubungo enzi (ilikuwa maeneo ya Kisutu) hizo napo kuna watu walipinga ila baadae wakazoea. So Mbezi watazoea, sometimes vitu vingine vinahitaji maamuzi na si discussion,kwa hili mkuu wa mkoa yupo sawa.Kwa ukubwa wa Dar sidhani. Wangeacha tu pale ubungo
Muwe mnasafiri japo huko duniani mjifunze, nchi ya kipumbavu ndio inaruhusu "stand binafsi" ila kama mnajielewa hamuwezi kuruhusu kila mtaa kuwa na stand ya mtu binafsi.Itasaidia nini magari yote kushusha hapo Stendi ya Magufuli?
Kuna tatizo gani mabasi yakishusha na kupakia abiria kwenye stendi zao binafsi?
Zitakuwa ni akili au matope kama bus linatoka kwenye yard/Ofisi yake yake Ubungo na kuna abiria wanasafiri na hilo bus wanaoishi hapo Ubungo na Sinza kutakiwa kupanda daladala hadi Magufuli ndio wakapakie hilo bus lililoenda tupu bila abiria??
Kizazi cha bodaboda kinataka kika kitu kiwe mlangoni kwao.Haiwezekani mitaani kuwe na stand kila mahali,
Hilo halipo popote duniani kwenye inchi zilizoendelea.
Unaposafiri jipange..
Miaka ya 80/90 mabasi yalikuwa kisutu na watu walikuwa wanakwenda na hapakuwa na ofisi mitaani..
Na hakuna malalamiko.
Mabasi yalikuwa ubungo na hakuna malalamiko.
Kwann Stand ya Magufuli malalamiko lukuki?
Wanaolalamika wengi wana maslahi na ofisi kuwa mitaani.
Airports ipo huko Jet Lumo, ila raia kutoka vikindu, kibaha,bagamoyo wanawahi.Kuna SGR stendi city center na Pugu, utaamua mwenyewe upandie wapi.
Waweke stendi nyingine ya mabasi Ubungo.
Ubungo na Kigamboni.
Wanaopanda ndege ni ma CEOs wa benki, mawaziri, matajiri, watalii na wafanyakazi wanaolipiwa nauli na Ofisi zao. Wote hao wanapelekwa airports na maviete ya serikali na Ofisi zao, range au taxi. Wanaopanda mabasi ni masikini na wanajitegemea wenyewe kwa kila kitu.Airports ipo huko Jet Lumo, ila raia kutoka vikindu, kibaha,bagamoyo wanawahi.
Tatizo ni mazoea ila kama unasafiri jukumu ya kuandaa ratiba na kuhakikisha unawahi ni la kwako,haijalishi unapanda ndege, treni au bus. Mbezi sio mbali na kitu kikubwa kinatosheleza kwa mabus yote, so watazoea tu baada ya mda.
Acha kukalili, kuna watu kibao wanapanda ndege na ni wafanyakazi wakawada, cha msingi ni kuwa na ni NIDHAMU YA MDA, sio kila kitu kulalamika tu. Zamani Stand ilikuwa maeneo ya Kisutu, ikahamia Ubungo walitokea wanaolalamika kama ww,ila baadae wakazoea hata hili la Mbezi watazoea tu,haijalishi unapenda ndege, treni au bus unacho takiwa kuwa na nidhamu ya mda.Wanaopanda ndege ni ma CEOs wa benki, mawaziri, matajiri na wafanyakazi wanaolipiwa nauli na Ofisi zao. Wote hao wanapelekwa airports na maviete ya serikali na Ofisi zao, range au taxi. Wanaopanda mabasi ni masikini na wanajitegemea wenyewe kwa kila kitu.
mda ni nini?Acha kukalili, kuna watu kibao wanapanda na ni wafanyakazi wakawada, cha msingi ni kuwa na ni NIDHAMU YA MDA, sio kila kitu kulalamika tu. Zamani Stand ilikuwa maeneo ya Kisutu, ikahamia Ubungo walitokea wanaolalamika kama ww,ila baadae wakazoea hata hili la Mbezi watazoea tu,haijalishi unapenda ndege, treni au bus unacho takiwa kuwa na nidhamu ya mda.
Assume mtu anakaa Kigamboni au Chamazi na anatakiwa kuliwahi bus linaloondoka saa kumi alfajiri pale Mbezi itabidi aamke saa ngapi na atumie usafiri gani wa kumfikisha Mbezi?Ulimuelewa RC alivyosema? Lengo ni kuondoa mabus makubwa ndani ya mji.
Mkuu mabus makubwa yanayopita katikati ya mji ni KERO kubwa sana ,halafu yanakimbia sana ,yanasababisha ajali kila siku ,yakianzia huko nje ya MJI inaleta haueni.
Sisi tunayoyaona yanavyoleta VURUGU tunajua athari zake.
Kumtoa abiria kutoka huko temeke hadi Mbezi Magufuli siyo shida ,Dar zipo Route zote za kwenda Mbezi Magufuli....Usafiri kwasasa ni 24/7 ,kata tiketi ambapo muda utakuwa mzuri kwako...hauwezi kuchelewa bus...Pale mbezi magufuli zipo facilities za accomodation au unaweza ukaa waiting room vile vile kama hauwezi kuafford accomodation.