Magari ya Biashara
Senior Member
- Sep 16, 2019
- 183
- 578
kweli mkuu kwa sisi wazee wa totozi hapo mtoto yoyote mkali ukimsogeza akuchomoleimchawi pesa
wapo humuhumu wanawaangalia tuukweli mkuu kwa sisi wazee wa totozi hapo mtoto yoyote mkali ukimsogeza akuchomolei
kweli mkuu kwa sisi wazee wa totozi hapo mtoto yoyote mkali ukimsogeza akuchomolei
Apartment ina vyumba 3 vya kulala
Ipo floor ya pili ya jengo
Fully furnished... Ndani iko vzuri sana
Ipo mtaa wa msimbazi
BEI NI MILIONI 150 TU.. WAHI SASA
Unaweza kupangisha kwa mwezi ukapata 600,000
Mawasiliano 0677 818283
View attachment 1672945View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672944
View attachment 1672944View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672949View attachment 1672949
Ukimuambia tu mtoto, baby hapa ndio kwetu, analowa na kulowa chini mda huo huokweli mkuu kwa sisi wazee wa totozi hapo mtoto yoyote mkali ukimsogeza akuchomolei
Parking nje ndo mtihani wa Kariakoo (city centre) pia malezi ya watoto huko Ni changamoto nyingineApartment ina vyumba 3 vya kulala
Ipo floor ya pili ya jengo
Fully furnished... Ndani iko vzuri sana
Ipo mtaa wa msimbazi
BEI NI MILIONI 150 TU.. WAHI SASA
Unaweza kupangisha kwa mwezi ukapata 600,000
Mawasiliano 0677 818283
View attachment 1672945View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672944
View attachment 1672944View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672949View attachment 1672949
Hapo unanunua eneo.
Kuna maeneo hapa Dar, unaweza kupata Apartment kama hiyo kwa 50mil.
Na baada ya 20 years maeneo hayo yakawa kama Kariakoo.
Moja ya maeneo mazuri kununua apartments ni Tandika.
Hiyo ni kariakoo in 20 years.
Kila kitu kinapatikana Tandika kwa bei ya Kariakoo, na wateja wengi kutoka mikoa ya kusini huishia Tandika.
Tatizo ni miundombinu, na uongozi mbovu usiojua kutega uchumi katika maeneo yao. That's a treasure cove, ila kwa sababu zisizo na maana viongozi wa manispaa wanajenga barabara kijichi na kuacha kwa makusudi kabisa kile kipande cha Sudan kuelekea Majaribio.
Ukiuliza watu wanakwambia eti kule ni watu wa CUF.
Very sad.
hata mimi natamani kujuaNje pakoje
Tafuta wa kununuliaKazuri, nimekatamani.