House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu
Usikimbie mada mkuu... Jibu hoja yakoo
Huna hoja zaidi ya viroja vya kutafuta mteja wa 400m JF. Ni sawa na kuulizia
Kitimoto rosti jela.
NB: 400m cash usawa huu jela hii hapa.
 

Attachments

  • download (5).jpeg
    download (5).jpeg
    9.6 KB · Views: 7
Huna hoja zaidi ya viroja vya kutafuta mteja wa 400m JF. Ni sawa na kuulizia c
Kitimoto rosti jela...
Jamiiforum imevamiwa... nikajua ni mtaalamu wa majengo... Uwasaidie wanunuzi kujua nyumba za kichina na za mjerumani..

Aisee kumbe ni zero brain..
Nenda kalale kesho mnafungua shule... Usisahau pay slip ya ada uliyolipiwaa
 
Apartment ina vyumba 3 vya kulala
Ipo floor ya pili ya jengo
Fully furnished... Ndani iko vzuri sana
Ipo mtaa wa msimbazi
BEI NI MILIONI 150 TU.. WAHI SASA

Unaweza kupangisha kwa mwezi ukapata 600,000

Mawasiliano 0677 818283

View attachment 1672945View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672944

View attachment 1672944View attachment 1672946View attachment 1672947View attachment 1672949View attachment 1672949
Kupangisha kwa 600,000 mwaka utapata 7,200,000 na kununua kwa 150 m ni Almost 10 m kwa mwaka which is gross loss
 
Hapo unanunua eneo.

Kuna maeneo hapa Dar, unaweza kupata Apartment kama hiyo kwa 50mil.
Na baada ya 20 years maeneo hayo yakawa kama Kariakoo.
Moja ya maeneo mazuri kununua apartments ni Tandika.
Hiyo ni kariakoo in 20 years.

Kila kitu kinapatikana Tandika kwa bei ya Kariakoo, na wateja wengi kutoka mikoa ya kusini huishia Tandika.
Tatizo ni miundombinu, na uongozi mbovu usiojua kutega uchumi katika maeneo yao. That's a treasure cove, ila kwa sababu zisizo na maana viongozi wa manispaa wanajenga barabara kijichi na kuacha kwa makusudi kabisa kile kipande cha Sudan kuelekea Majaribio.

Ukiuliza watu wanakwambia eti kule ni watu wa CUF.
Very sad.
Usisahau na mbagala
 
Huna hoja zaidi ya viroja vya kutafuta mteja wa 400m JF. Ni sawa na kuulizia
Kitimoto rosti jela.
NB: 400m cash usawa huu jela hii hapa.
Acha dharau mkuu humu sio wote saizi yetu na hata connection pia za hao wa million 400 tunaweza wapa wengine wasingejua
 
Back
Top Bottom