House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu
Unapojibu pia jibu na hizo tents za parking. Yaani nyumba inauzwa kama inavyoonekana.
 
Nyumba ipo kibamba shule Km 2 kutoka morogoro road

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master

Nyumba ina sebule dinning jiko public toilet na stoo

Kwa nje kuna vyumba viwili vya wapangaji na pia kisima cha maji kipo

maji ya dawasco na umeme vyote vipo

eneo lina ukubwa wa 25 kwa 25

BEI NI MILIONI 38 TU

Mawasiliano 0677 818283


132070265_219816713105171_4680227820038925431_n.jpg
132165252_219816629771846_7109622654968273684_n.jpg
132199342_219816593105183_9100587278682217530_n.jpg
132213717_219816639771845_4904143205671593111_n.jpg
132433143_219816653105177_5886153555986418433_n.jpg
132461187_219816656438510_2253768541950787707_n.jpg
132574311_219816716438504_698950548234547037_n.jpg
132605294_219816633105179_5285554864365322223_n.jpg

 
Aisee kumbe Kijiji chetu tukichanga elfu 10 wote tunamiliki mjengo, ngoja niongee na mwenyekiti
 
Mkuu mbona bei rahisi wakati zile za Masamaki zilikuwa kama hii ila 600M-900M?

Hamna majini kweli humo???
Mnununulie mtoto mzee baba... nasubiri bitcoin zangu hadi ifikie kwa bitcoin moja $ 100,000.. nimpe zawadi Bushmamy mjengo kama huu 😃😃😃
 
Dah
kuna namna yani, majumba mengi ya matajiri ya aina hio yakuwaga haunted. Unaeza shangaa tu unakula makofi usiku hulali 😁
Ndio maana mkinunua hizi nyumba mnatuita makuhani, tunakuja kuziweka wakfu kwanza 😃😃
 
tatizo tumeambiwa tuishi kama mashetani, hiyo nyumba kauzie malaika mkuu.
 
Back
Top Bottom