Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
Dah
kuna namna yani, majumba mengi ya matajiri ya aina hio yakuwaga haunted. Unaeza shangaa tu unakula makofi usiku hulali [emoji16]
Inawezekana maana unakuta katika utafutaji wanafuga sana majini. Kuna kipindi nilisafiri kwenda marangu mbele kidogo tu ya daraja pale kama unaelekea hospitalini kuna nyumba nilioneshwa kama kighorofa fulani hivi inasemekana hakuna anaekaa humo ndani yeyote anaeingia humo anapigwa ngumi za mbavu usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nyumba hii jinsi ilivyo na eneo iliyopo napata mashaka sana kwa bei hiyo ya 450M ilitakiwa iwe juu kiasi....