David Ben Gurion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 868
- 1,384
Nakuona Jasusi Mbobezi a Man From DamascusSawa. Ngoja tumalizane na Sabaya kwanza, tutarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona Jasusi Mbobezi a Man From DamascusSawa. Ngoja tumalizane na Sabaya kwanza, tutarudi
😂 😂 😂Kwa mwandiko wako huo huwezi kuwa na kiasi hicho.
Kwann mkuuNgoja sabaya afungwe kwanza
Kupiga wananchi (kamera video zipo) kukata watu masikio.kulawiti na kuuaKwann mkuu
Hii ni ya ole 7ya au? Anyway nyumba nzuriNyumba Nzuri sana INAUZWA BOMA NG'OMBE HAI-KILIMANJARO
View attachment 1783861View attachment 1783862View attachment 1783863View attachment 1783864View attachment 1783865View attachment 1783866View attachment 1783867View attachment 1783868View attachment 1783869View attachment 1783870View attachment 1783871View attachment 1783872View attachment 1783873View attachment 1783874View attachment 1783875
- Nyumba ina vyumba viNNE vikubwa viwili ni master vina makabati ya nguo
- Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana na store
- Jiko kubwa na zuri + makabati yapo na jiko la nje lipo
- Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki
- Nyumba ipo Boma NG'OMBE Wilaya ya hai Mkoa wa kilimanjaro
- BEI NI MILIONI 95 TU......Wahi sasa
- Mawasiliano 0677 818283
hapnaHii ni ya ole 7ya au? Anyway nyumba nzuri
no parkingParking?
"Ukinunua hii nyumba huruhusiwi kununua gari"no parking
When the deal is too good think twiceNyumba nzuri bei rahisi hivyo why
huoni umaji maji huo mkuuParking?
ndugu..inawezekana sio type yako... "kila nyumba ina mtu wake"..hii labda sio chaguo lako"Ukinunua hii nyumba huruhusiwi kununua gari"
😂😂 Nimepanga sana ngoja nifanye mchakato. Mi mambo ya kuanza kujenga kugombana ma mafundi siwezi.huoni umaji maji huo mkuu