Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini inauzwa?Nyumba Nzuri sana INAUZWA Tabata BARACUDA MILIONI 160 TU...Wahi sasa
Nyumba ina vyumba vitatu vikubwa kimoja master
Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana
Jiko kubwa na zuri + parking kubwa ya magari
Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki
Nyumba ipo karibu sana kutoka barabarani ni mwendo wa dakika 1 tu
BEI NIMILIONI 190MILIONI 160 TU......Wahi sasa
Mawasiliano 0677 818283
MILIONI 160 TU .................IMEPUNGUA BEI
View attachment 1797349View attachment 1797350View attachment 1797351View attachment 1797352View attachment 1797353View attachment 1797354View attachment 1797355View attachment 1797356View attachment 1797358
View attachment 1797360
Mkuu hii ni mali halali na ina doc zote za umiliki kwa anayeuza..Kwanini inauzwa?
Be specific, naona hujajibu swali... Kwanini anaiuza?mkuu hii ni mali halali na ina doc zote za umiliki kwa anayeuza..
so ni maamuzi yake..
kuna shida, kuna kuhama,kuna kukuza biashara.. sababu ni nyingi...
HATI HALALI IPO
Hiv kweli utatangaza shida/ tatizo la mtu mtandaoni...Be specific, naona hujajibu swali... Kwanini anaiuza?
Ukiona mtu anakwepa kujibu swali halisi basi kuna shidaBe specific, naona hujajibu swali... Kwanini anaiuza?
Jibu la hilo swali lina determine ununuzi wa hiyo property.
BEI YA KUTUPA KABISA... KUTOKA MILIONI 190 MPAKA 160
Kuna utaratibu wa kazi na details za kuweka mtandaoni..Ukiona mtu anakwepa kujibu swali halisi basi kuna shida
Nilisikia jamaa anasema alinunua nyumba usiku hakulala
Chumba kimoja tu ni Master
ashuke chini ya 100Ml
mwambie 90Ml
Ukiona mtu anakwepa kujibu swali halisi basi kuna shida
Nilisikia jamaa anasema alinunua nyumba usiku hakulala
ndo hivyo...tunaishi naoWabongo wakikosa hela ndiyo shida hiyo. Uchawi unakuwa mwingi sana.
Mtu anakuambia anauza nyumba. Kwa anahitaji mtafute document zote zipo. Mtu anauliza kwanini anauza? Ukishajua jua shida yake utamsaidia?
Ukienda dukani kununua hata viatu utaanza kumuuliza kwanini anauza viatu? Sema hauna pesa za kununua hiyo nyumba
UKIONA UMEANZA KUPATA PESA NA MICHONGO INATIKI. UNATAKIWA KUHAMA USWAHILI. MAANA WATU KM HAWA HUWA WENGI SANA. UTASHANGAA UNAANZA KUCHUKIWA BILA SABABU.
Basi yaishe MkuuWabongo wakikosa hela ndiyo shida hiyo. Uchawi unakuwa mwingi sana.
Mtu anakuambia anauza nyumba. Kwa anahitaji mtafute document zote zipo. Mtu anauliza kwanini anauza? Ukishajua jua shida yake utamsaidia?
Ukienda dukani kununua hata viatu utaanza kumuuliza kwanini anauza viatu? Sema hauna pesa za kununua hiyo nyumba
UKIONA UMEANZA KUPATA PESA NA MICHONGO INATIKI. UNATAKIWA KUHAMA USWAHILI. MAANA WATU KM HAWA HUWA WENGI SANA. UTASHANGAA UNAANZA KUCHUKIWA BILA SABABU.
kuna utaratibu wa kazi na details za kuweka mtandaoni..
hiv mtu akisema mwenye nyumba anaitwa nani?....
kweli unaadhani utapaswa kuweka details hapa?
Mkuu fikiria mara 2 jambo unalopinga..
fahamu details za nyumba taarifa binafsi utazipata pindi utakpofanya mawasiliano
mbona wapo wanaopiga simu na kupata details zote
Duh!!! Kweli hatufanani! Mil 190 -160 ni bei ya kutupa?BEI YA KUTUPA KABISA... KUTOKA MILIONI 190 MPAKA 160
Unakuta mwingine hata 400 ya nauli ya daladala huna 🤣Duh!!! Kweli hatufanani! Mil 190 -160 ni bei ya kutupa?
Yaani hata 200 sina! Mtu 160 ni ya kutupa!!! Ndiyo maana mwendazake alitunyongelaiz!!!Unakuta mwingine hata 400 ya nauli ya daladala huna 🤣