FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mimi ninachofahamu, vitu vinavyouzwa kwa haraka haraka as if Dunia ndio inaisha kesho huwa kuna namna tu, lazima kuna namna, maana kama mwenye nyumba anashida ya pesa, ni kwanini asiende benki akakope hata millioni 200, halafu asilipe , then bank waichukue, basi, mchezo umeisha.