sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kuwa na nyumba au Asset yoyote ile sio kigezo pekee cha wewe kupata mkopo benki.Ingekuwa hivyo kila mwenye nyumba angekuwa na mkopo benkiMimi ninachofahamu, vitu vinavyouzwa kwa haraka haraka as if Dunia ndio inaisha kesho huwa kuna namna tu, lazima kuna namna, maana kama mwenye nyumba anashida ya pesa, ni kwanini asiende benki akakope hata millioni 200, halafu asilipe , then bank waichukue, basi, mchezo umeisha.