Magari ya Biashara
Senior Member
- Sep 16, 2019
- 183
- 578
- Thread starter
- #441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no instagram accountInstagram unatumia jina gani nikaangalie picha huko
nicheki whatsapp nikutumie 0677 818283Instagram unatumia jina gani nikaangalie picha huko
hahahahhahaNa mtifuano wa bwana dalali na wadau ni mkali sanaaa
nyumba kwa sasa si ya biashara ni ya makaziBiashara sio asset?, nyumba ukiipangisha sio biashara?
karibuuNyumba kali mnoo, hapo ata kama kafara kutoa ili niipate naweza kutoa
duuuuuhNyumba kali mnoo, hapo ata kama kafara kutoa ili niipate naweza kutoa
unachoguna ni niniduuuuuh
Kaombewe.unachoguna ni nini
kwa nyumba iyo ata wewe arafak nakutoaKaombewe.
Mbezi maeneo gani? Pako sambamba na barabara gani kubwa karibu?Mjengo huu una vyumba 4 vya kisasa MNOOOO ...vitatu ni self contained na kimoja ni master room
Nyumba Iina servant quater (nyumba ndogo ya pembeni yenye vyumba 2)
Nyumba ina sitting roo 2 moja ipo juu na nyingine chini .. Kuna dining room,public toilet,jiko , bacon pia imezungushiwa fence
Full AC, paving block,garden,Tiles,gypsum, aluminum Slide windows.
Nyumba ipo mbezi beach mtaa mzuri wa kishua kabisa..inafaa kwa ajili ya makazi au ofisi
Umnali ni mita 200 tu kutoka barabara kuu
BEI: 550 Million
Nyumba pia ina
-Car Parking, standby -Genetator is available for 24/7
-Air Conditioning,
-Fire safety
-Swimming pool
-Security 24hrs
View attachment 1809015View attachment 1809016View attachment 1809017View attachment 1809018View attachment 1809019View attachment 1809020View attachment 1809021View attachment 1809022View attachment 1809023View attachment 1809024View attachment 1809026
View attachment 1809025
mbezi beach africana.... upande wa chiniMbezi maeneo gani? Pako sambamba na barabara gani kubwa karibu?
Hana pesa hizo za kutoa kununua hilo jumba bila kuyumba. Mbwembwe tu.Mtag diamond