House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu
Mjengo huu una vyumba 4 vya kisasa MNOOOO ...vitatu ni self contained na kimoja ni master room

Nyumba Iina servant quater (nyumba ndogo ya pembeni yenye vyumba 2)

Nyumba ina sitting roo 2 moja ipo juu na nyingine chini .. Kuna dining room,public toilet,jiko , bacon pia imezungushiwa fence

Full AC, paving block,garden,Tiles,gypsum, aluminum Slide windows.

Nyumba ipo mbezi beach mtaa mzuri wa kishua kabisa..inafaa kwa ajili ya makazi au ofisi

Umnali ni mita 200 tu kutoka barabara kuu

BEI: 550 Million

Nyumba pia ina

-Car Parking, standby -Genetator is available for 24/7
-Air Conditioning,
-Fire safety
-Swimming pool
-Security 24hrs

View attachment 1809015View attachment 1809016View attachment 1809017View attachment 1809018View attachment 1809019View attachment 1809020View attachment 1809021View attachment 1809022View attachment 1809023View attachment 1809024View attachment 1809026

View attachment 1809025
Nyumba ya heshima!
The value of money!hatari
 
Mbona bei ndogo hiyo? Amefanya assessment ya thamani ya hiyo nyumba au amekisia tu? Akumbuke kama alijenga zamani basi sasa kwa bei hiyo hawezi kabisa. La pili ajue hapo kuna capital gains tax (nadhani 10%) zitafyekwa na TRA.

Labda kama ana shida sana au alipata fedha kwa njia za panya ndiyo anauza kwa bei hiyo. Trust me.
Tena hiyo bei ni kubwa sana,mjomba wangu ametumi 600M kujenga nyumba ya ghorofa ya 2 tena kubwa sana.
 
Nyumba Nzuri sana INAUZWA BOMA NG'OMBE HAI-KILIMANJARO

INAFAA KWA MAKAZI AU OFISI

Eneo ni SQM 800...

Unaweza paki gari 6 mpaka 10

Nyumba ina vyumba viNNE vikubwa viwili ni master vina makabati ya nguo

Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana na store

Jiko kubwa na zuri + makabati yapo na jiko la nje lipo

Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki

Nyumba ipo Boma NG'OMBE Wilaya ya hai Mkoa wa kilimanjaro

BEI NI MILIONI 90 TU
(HII NI BEI YA KUUZIA YAANI NDIO TOP TOP)

Mawasiliano 0677 818283

IMG-20210428-WA0002.jpg
IMG-20210428-WA0013.jpg
IMG-20210428-WA0001.jpg
IMG-20210428-WA0012.jpg
IMG-20210428-WA0004.jpg
IMG-20210428-WA0003.jpg
IMG-20210428-WA0014.jpg
IMG-20210428-WA0006.jpg
IMG-20210428-WA0005.jpg
IMG-20210428-WA0008.jpg
IMG-20210428-WA0007.jpg
IMG-20210428-WA0009.jpg
IMG-20210428-WA0000.jpg
IMG-20210428-WA0011.jpg
IMG-20210428-WA0010.jpg
 
Mjengo huu una vyumba 4 vya kisasa MNOOOO ...vitatu ni self contained na kimoja ni master room

Nyumba Iina servant quater (nyumba ndogo ya pembeni yenye vyumba 2)

Nyumba ina sitting roo 2 moja ipo juu na nyingine chini .. Kuna dining room,public toilet,jiko , bacon pia imezungushiwa fence

Full AC, paving block,garden,Tiles,gypsum, aluminum Slide windows.

Nyumba ipo mbezi beach mtaa mzuri wa kishua kabisa..inafaa kwa ajili ya makazi au ofisi

Umnali ni mita 200 tu kutoka barabara kuu

BEI: Milioni 550 (bei ya kuuzia , haina mazungumzo)

Nyumba pia ina

-Car Parking, standby -Genetator is available for 24/7
-Air Conditioning,
-Fire safety
-Swimming pool
-Security 24hrs

View attachment 1809015View attachment 1809016View attachment 1809017View attachment 1809018View attachment 1809019View attachment 1809020View attachment 1809021View attachment 1809022View attachment 1809023View attachment 1809024View attachment 1809026

View attachment 1809025
Tutaelewana tu. Milioni 500 itapendeza.
 
Hii wauziane wenyewe tu huko. Mana ukiishi huko Kila siku wewe ni mwenyeji wa wapi. Na ukifungua biashara wakikujua hawaji kwako kununua wanakukwepa Mana wewe ni kyasaka watakunyanyuaje ufaidike uwazidi.
Mikoa mwingine unapata maisha Ila sio huko ,yanai unakuwa upo Kenya. Peleka redio boma fm wakutanguzie
 
Hata hapa wapo wahitaji
 
Back
Top Bottom