Nyumba ya heshima!
The value of money!hatari
 
Tena hiyo bei ni kubwa sana,mjomba wangu ametumi 600M kujenga nyumba ya ghorofa ya 2 tena kubwa sana.
 
Nyumba Nzuri sana INAUZWA BOMA NG'OMBE HAI-KILIMANJARO

INAFAA KWA MAKAZI AU OFISI

Eneo ni SQM 800...

Unaweza paki gari 6 mpaka 10


Nyumba ina vyumba viNNE vikubwa viwili ni master vina makabati ya nguo

Pia ina Dining na sitting room ya kisasa sana na store

Jiko kubwa na zuri + makabati yapo na jiko la nje lipo

Nyumba ina hati miliki safi kabisa na haijawahi kukopewa benki

Nyumba ipo Boma NG'OMBE Wilaya ya hai Mkoa wa kilimanjaro

BEI NI MILIONI 90 TU
(HII NI BEI YA KUUZIA YAANI NDIO TOP TOP)


Mawasiliano 0677 818283

 
Tutaelewana tu. Milioni 500 itapendeza.
 
Hii wauziane wenyewe tu huko. Mana ukiishi huko Kila siku wewe ni mwenyeji wa wapi. Na ukifungua biashara wakikujua hawaji kwako kununua wanakukwepa Mana wewe ni kyasaka watakunyanyuaje ufaidike uwazidi.
Mikoa mwingine unapata maisha Ila sio huko ,yanai unakuwa upo Kenya. Peleka redio boma fm wakutanguzie
 
Hata hapa wapo wahitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…