Magari ya Biashara
Senior Member
- Sep 16, 2019
- 183
- 578
- Thread starter
- #501
Tutaelewana tuTutaelewana tu. Milioni 500 itapendeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaelewana tuTutaelewana tu. Milioni 500 itapendeza.
Hana pesa hizo za kutoa kununua hilo jumba bila kuyumba. Mbwembwe tu.
Wewe kwani unatokea mkoa gani mpaka ukariri watu wa Kilimanjaro wapo hivo alafu huko ni boma amna wote chasaka sasa huko sio migombani mangi. Inshort wewe na mwendazake ni same people, mnaisolate tribes, acha tribalism mkuuHii wauziane wenyewe tu huko. Mana ukiishi huko Kila siku wewe ni mwenyeji wa wapi. Na ukifungua biashara wakikujua hawaji kwako kununua wanakukwepa Mana wewe ni kyasaka watakunyanyuaje ufaidike uwazidi.
Mikoa mwingine unapata maisha Ila sio huko ,yanai unakuwa upo Kenya. Peleka redio boma fm wakutanguzie
Usione vyaelea ujue vimeundwa sasa wewe na upumbavu wako unaona vinaelea unadhani ni rahisi. Mganga gani wa sasa hivi atakupa kafara au mbumba ya kujenga huo mjengo, think twice hata hao wana bodi mnao waita free masonic watakukojolesha marinda uwe kwenye ushoga ndio upewe entrance membership.Nyumba kali mnoo, hapo ata kama kafara kutoa ili niipate naweza kutoa
Mkuu nimesomea shule na nimefanya kazi takribani 5 years. Hapo boma nimekaa Kama miaka 2 , maeneo hapo ya ccm ,Dorcas na kule uzunguni.Wewe kwani unatokea mkoa gani mpaka ukariri watu wa Kilimanjaro wapo hivo alafu huko ni boma amna wote chasaka sasa huko sio migombani mangi. Inshort wewe na mwendazake ni same people, mnaisolate tribes, acha tribalism mkuu
Sawa tajiriMmh masikini bwana [emoji848] uwa Anaona kila mtu hana pesa
Kuwa mpole mkuu...umeelewekaMkuu nimesomea shule na nimefanya kazi takribani 5 years. Hapo boma nimekaa Kama miaka 2 , maeneo hapo ya ccm ,Dorcas na kule uzunguni.
Nimeishi Rombo pale njia panda ya mkuu,tarakea na huruma hospital,Moshi mjini ni kule pasua, machame tumejenga Ile health center,Arusha nimeishi kisongo kwenye nyumba za meja mruto Kama unazifahamu.
Hakuna mchaga anayenunua kwenye duka la chasaka sembuse mpaka hiace wanataka kujua mmiliki.
Kusema ukweli mangi Ana Tabia za kikenya jamani tukubali.
Unapajua pe Soweto Moshi Ila ngoja niishir hapo tu
mkuu waganga wa kafara wapo sana, **** mmoja nasikilizia ameenda nchini mali akirudi tu nimeulaUsione vyaelea ujue vimeundwa sasa wewe na upumbavu wako unaona vinaelea unadhani ni rahisi. Mganga gani wa sasa hivi atakupa kafara au mbumba ya kujenga huo mjengo, think twice hata hao wana bodi mnao waita free masonic watakukojolesha marinda uwe kwenye ushoga ndio upewe entrance membership.
Enzi hizi waganga wa kukufungulia pesa kwenye ndoo au drooo kila siku wakuta zimejaa nakuambia hawapo MV Bukoba ilipita nao. Wamebaki matapeli yule mganga wa Ginimbi naye chali.
PoooaaKuwa mpole mkuu...umeeleweka
Utandawazi umetuwezesha kuona wenye pesa wanaishi vipiA see ningekuwa na pesa ningechukua hii nyumba.
Mbona kama kweli hivi[emoji16], me sijawai kusikia mtu anaendra kutafuta maisha kilimanjaro.Hii wauziane wenyewe tu huko. Mana ukiishi huko Kila siku wewe ni mwenyeji wa wapi. Na ukifungua biashara wakikujua hawaji kwako kununua wanakukwepa Mana wewe ni kyasaka watakunyanyuaje ufaidike uwazidi.
Mikoa mwingine unapata maisha Ila sio huko ,yanai unakuwa upo Kenya. Peleka redio boma fm wakutanguzie
Watasema kuwa tunawachukia Ila sio ivyo.Mbona kama kweli hivi[emoji16], me sijawai kusikia mtu anaendra kutafuta maisha kilimanjaro.
Imeandikwa"Utapata faida gani hata ukiupata ulimwengu mzima halafu ukakosa Uzima wa milele???".Nyumba kali mnoo, hapo ata kama kafara kutoa ili niipate naweza kutoa
Vp wameshauza au bado?Mjengo huu una vyumba 4 vya kisasa MNOOOO ...vitatu ni self contained na kimoja ni master room
Nyumba Iina servant quater (nyumba ndogo ya pembeni yenye vyumba 2)
Nyumba ina sitting roo 2 moja ipo juu na nyingine chini .. Kuna dining room,public toilet,jiko , bacon pia imezungushiwa fence
Full AC, paving block,garden,Tiles,gypsum, aluminum Slide windows.
Nyumba ipo mbezi beach mtaa mzuri wa kishua kabisa..inafaa kwa ajili ya makazi au ofisi
Umnali ni mita 200 tu kutoka barabara kuu
BEI: Milioni 550 (bei ya kuuzia , haina mazungumzo)
Nyumba pia ina
-Car Parking, standby -Genetator is available for 24/7
-Air Conditioning,
-Fire safety
-Swimming pool
-Security 24hrs
View attachment 1809015View attachment 1809016View attachment 1809017View attachment 1809018View attachment 1809019View attachment 1809020View attachment 1809021View attachment 1809022View attachment 1809023View attachment 1809024View attachment 1809026
View attachment 1809025