Big up mkuu ulitimiza jukumu lako kiufanisi sanaMwaka Jana nilikuwa nimetoka kuoa Mwanamke ambae alikuwa na tatizo Kama Hilo nilivumilia Sana Ila badae ikabidi nimwambie ukweli nikihofia tatizo like lisije likaathiri Hadi afya ya uzazi kumbe alikuwa na fungal infection na aliumia Sana Ila alikubali ukweli na nikaensa nae kituo Cha afya ambapo waligundua tatizo Hilo na kumpa dose ikiwemo VAGINAL CREAM ANTI FUNGAL ambayo alikuwa anapaka sehemu za Siri kwa wiki nzima no sex at that period...baada ya wiki tatizo liliisha and we enjoy the thing.
Ahaaa kidole unakisugua kwenye ukuta wapi,paja sabuni wapi,kumwambia ukweli mwanamke anayetema ni kazi sanaNyapu zinakaharufu flani,Zina kaharufu kanakovutia na kale kanako kera kisa uchafu aka kisamaki.Ila kuna zile zinatema kama panya kafia ndani,mostly ukichunguza utakuta katoa mimba kienyeji na hawakusafisha vyema.Kuna pisi Moja nlikuwa nayo field mkoa x,ofisini kila mtu akawa anamkwepa kisa anatema,zikaanza za ndani kuwa katoa mimba,ye mwenyewe akawa hata hajui anatikisa tu Tako na alikuwa nalo kweli ndio kisa nikatupa ndoano,na kwakuwa wengi walimkwepa Hadi wahuni,competition ikawa rahisi.Jioni tumebaki boardroom,piga mate,Ile napima oil mtoto Wala hapingi naskia tu miguno,ila kifupi nlivyochomoa kidole Ilikuwa mwanzo na mwisho,wa mazoea na kidole kilinuka wiki 2.Ila alikuja kupona baada ya madem wenzie kumkalisha chini.
Baada ya hapo amnunulie chupi za cotton au zile nzuri za kawaida ila katikati zinakua na kitambaa sio cha nylon....asivae zile chupi za buku buku jero jero zinamwagwa chini vile ni viwanda vya fangasiCha kumsaidia hapo kama kweli unampenda mwambie unajihisi kama una UTI kwa hiyo muende wote hospital mkapime muanze dozi, mkifika hospital pimeni magonjwa yote hadi ya zinaa, yeye lazima ataonekana na fangasi na hapo hapo ataanzishiwa dozi,
Harufu mbaya ukeni ni fangasi na wengi hawatumii dawa vizuri na kufata masharti hadi inakua sugu.
Nilikutana na Mmoja ananuka Papa lake na Domo lake nilijuta mno Ndugu.Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli,lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu.mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Unadhani hiyo ni kama kanzu na baraghashia kwamba kila mtu anaweza akawa nayo?Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli,lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu.mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Kinoma Yani.Wanaume tunavumilia mengi sana
Unasugua kidole kwenye ukuta ๐๐คฃ๐Ahaaa kidole unakisugua kwenye ukuta wapi,paja sabuni wapi,kumwambia ukweli mwanamke anayetema ni kazi sana
Yale machupi ya buku buku material yake tu inatisha ni pure polyester na joto la Dar hehehehe hatari na nusu.Baada ya hapo amnunulie chupi za cotton au zile nzuri za kawaida ila katikati zinakua na kitambaa sio cha nylon....asivae zile chupi za buku buku jero jero zinamwagwa chini vile ni viwanda vya fangasi
Hapo kwenye usafi ndio penyewe haswaaa ila sasa nadhani mtoa huduma wa kituo cha afya anapaswa amwambie kwa mpenzi ataona kama anamzingua tu,ukiachana na hizo fungus na UTI na magonjwa ya zinaa,,, mshauri pia awe na utaratibu wa kujisafisha mara kwa mara kwa maji mengi na kubadili pichu walau mara mbili au tatu kwa siku ikiwezekana.... kwani wadada wenzangu kwenye vibegi vyenu hua mnawekaga nini maana mimi lazima niwe nazo za ziada hata mbili za kubadili
ni kweli kabisa,,,,ila wadada wengi naona hiyo hygiene hawana sijui hatuna๐๐ ,wanaishia kidhalilishwa kama hivi.... ila mimi siwezagi kuvumilia ile harufu nikiiskia tu lazima ntakuita chemba nikwambie na hua sijali utajiskiaje kwasababu najua nimekusaidiaHapo kwenye usafi ndio penyewe haswaaa ila sasa nadhani mtoa huduma wa kituo cha afya anapaswa amwambie kwa mpenzi ataona kama anamzingua tu,
-Asichangie vyombo vya chooni na pia awe ana kawaida ya kuvisafisha kila wiki,
-Aoshe Uke kwa Maji mengi bila sabuni, wengi hutumia sabuni tena zile medicated soap au za kunukia akiamini ndio anasafisha kumbe anajiharibu,
- Aingize kidole na kutoa uchafu wote wa juu juu hapa napo ni mtihani maana wengi huambiwa wasiingize kidole uke unajisafisha wenyewe, ni kweli lakini unatoa uchafu kutoka ndani na kuuacha kwenye kingo mchache unatoka hadi kwenye chupi sasa ukiulimbikiza ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kuanza kuwashwa,
- Akimaliza kufanya mapenzi ajisafishe kwa maji mengi na ahakikishe shahawa zote zimetoka kwa kujikamua, kuacha shahawa ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kutengeneza miwasho na fangasi,
-Abadili chupi walau mara mbili kwa siku, asishinde na chupi moja siku nzima
-Avae chupi aina ya Cotton na sio Materials zingine
-Akikojoa anawe kwa maji na kujikausha kwa tissue sio kutumia tissue pekee ndio mwanzo wa kufuga uvundo au maji pekee bila kujikausha unatengeneza unyevu,
- Asitie viungo kwenye uke kama vipipi, shabu, mnato wa kisomali, vitunguu saumu, mafuta ya miski, n.k
MUHIMU: Wakitaka kufanya Mapenzi waogeshane kwanza, haya mambo ya kuparamiana na mijasho na uvundo mwisho wake ni kuanzishiana thread [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wanaoesema ile harufu kama dagaa wa ferry ndio inawapa stimu ya kunyandua papa vizuri๐๐๐๐๐. Hapo nenda duka la dawa kunandawa inauzwa 10k inakiua cha pinki inahusika na mambo ya uke anaisukuma ile dawa kwenye uke kulingana na maelezo ya duka la dawa. Mm nilisharuka na mlupo wangu ukawa unanuka sikuogopa kumwambia nikamnunulia na dawa hiyo mpka leo demu ananiheshimu sana japo kashasepa na zake ila nilisaidia kumpa tiba ya harufu mbaya
Kwanza mimi kuishi na mtu au mwanamke yeyote yule anaye toa harufu yoyote ile mwilini mwake naona kinyaa.Mwaka Jana nilikuwa nimetoka kuoa Mwanamke ambae alikuwa na tatizo Kama Hilo nilivumilia Sana Ila badae ikabidi nimwambie ukweli nikihofia tatizo like lisije likaathiri Hadi afya ya uzazi kumbe alikuwa na fungal infection na aliumia Sana Ila alikubali ukweli na nikaensa nae kituo Cha afya ambapo waligundua tatizo Hilo na kumpa dose ikiwemo VAGINAL CREAM ANTI FUNGAL ambayo alikuwa anapaka sehemu za Siri kwa wiki nzima no sex at that period...baada ya wiki tatizo liliisha and we enjoy the thing.
Umeongea kitaalam sana.Hapo kwenye usafi ndio penyewe haswaaa ila sasa nadhani mtoa huduma wa kituo cha afya anapaswa amwambie kwa mpenzi ataona kama anamzingua tu,