Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hivi Lissu ni mtu anayeonekana anaweza kujiua kwa mambo ya kijinga kijinga!? Lissu ni Lissu na ulisu wake ni ujasiri na werevu alio nao!!Lissu alisema maisha yake yako mikononi mwa Kabudi, asingemsaidia alidai angejiua
Yote haya yanatoka kwenye mtambo wa kuzalisha uwongo ufipa,msalimie kubenea na komu waambie wamtembelee meya jacob!Mtukufu sio jasiri bali ni muonevu pia ni mpenda Visasi huku mshauri wake mkuu Bashite akitumia fursa hizo kutengeneza blackmail za kutosha kwa matajiri kisha kuwachukulia pesa zao kwa njia haramu.
Kuna watu wanamwita kibaraka, mwehu na maneno mengine mengi ya dhihaka, lakini naona ni wanasukumwa zaidi na mihemuko ya mapenzi ya kisiasa, ila baada ya muda mrefu sana miaka kadhaa ikipita ndio tunagundua yupo sahihi na hasara tayari mmeshaipata nadhani badala ya kumpotezea msikilizeni japo hamumpendi.
Kunguru wa Lumumba ni ajabu sana!! Hoja ya hapa ni kuhusu Lissu wewe unaleta mambo ya Meya Jacob na kina Kubenea!!Yote haya yanatoka kwenye mtambo wa kuzalisha uwongo ufipa,msalimie kubenea na komu waambie wamtembelee meya jacob!
Juzi tumeambiwa ni wachina ndiyo wanaokuja kujenga!!Vipo wapi viwanda? Maendeleo hakuna pato la Taifa linatumika kudhoofisha chadema badala ya viwanda na maendeleo mengine
Kwani Lowassa ni kwa nini alikuwa kwenye List of shame!!Kulamba matapishi yake na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame ya Chadema.
Huyo wa awamu ya tano ni jasiri asiyetumia akiliKama ujasiri basi awamu ya tano amekutana na jasiri mwenzie!
Nimetaka kuwakumbusha kuwa chadema ni taasisi na yenye vitengo vingi licha ya propaganda ila na cha utekaji na mauaji pia kipo!Kunguru wa Lumumba ni ajabu sana!! Hoja ya hapa ni kuhusu Lissu wewe unaleta mambo ya Meya Jacob na kina Kubenea!!
Kunguru wa Lumumba ni ajabu sana!! Hoja ya hapa ni kuhusu Lissu wewe unaleta mambo ya Meya Jacob na kina Kubenea!!
Wakamatwe kama ni kweli!!Nimetaka kuwakumbusha kuwa chadema ni taasisi na yenye vitengo vingi licha ya propaganda ila na cha utekaji na mauaji pia kipo!
Sio kla mvinyo...ni ile super fine mvinyo tuUmekosea kuandika, kwani msemo wenyewe ni "mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani". Kwenye Mambo ya mvinyo kadri mvinyo unavyokuwa wa zamani ndiyo thamani na ubora wake hupanda.
Mkuu usipende kuandika mambo ya ukweli kiasi hicho.Sisi akina yakhe wapiga zumari titaanza kuweweseka!HahahahahaaaWenye Tenda yaani wanaolipwa Bilion kwa mwaka kwa ajili ya kuwatetea CCM mitandaoni ndiyo shiiida, kwani wameajiri vilaza mbumbu vijuha, vizuzu vitupu ndiyo maana utetezi dhidi ya CCM ni wa hovyo hovyo tu, wamiliki wa Tenda akina Musiba, Jerry Muro na kubwa jinga Le mutuz wao kazi yao ni kula pesa za CCM tu kazi wamewaachia wajinga wajinga wenzao kupambana na watu mitandaoni.
Mshauri jacob akaripoti uone kama jua litakuchwa!Wakamatwe kama ni kweli!!
We unamjua huyu au unabishana naye tu? Mwache bwanaHivi Lissu ni mtu anayeonekana anaweza kujiua kwa mambo ya kijinga kijinga!? Lissu ni Lissu na ulisu wake ni ujasiri na werevu alio nao!!
Kwa hilo la ngayai hata mie nilitofautiana naye, ila kwenye maswala mengine hasa ya sheria Lissu is tha best in Tanzania na ame prove hilo. Kama si upumbavu wa serekali za CCM, Lissu hakuwa mtu wa kuachwa nje ktk mswala ya kisheria yanayo lihusu taifa!Lissu tangu alipopiga u turn Na kuanza Kuwa mpiga debe wa Ngoyai 2015 nimeona chupa Mpya tu yenye mvinyo wa zamani