Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

Sio jasiri...

Ana mihemko...

Tokea 1998 Lisu kaanza harakati kupinga mikataba mibovu ya Madini hakusikilizwa leo hii mtukufu kaja na kelele za kuibiwa pasipo kurekebisha mikataba mibovu unategemea nini? Ujasiri anao kwani kipindi cha Mkapa alikuwa hatari sana alibambikiwa kesi kibao lakini mungu akamlinda na kuzipangua zote, kumbuka hata Nyerere alifutwa na mkapa kwenye ramani ya Dunia baada ya kupiga kelele kuhusu uuzaji wa mashirika, Ubinafusishaji kuleta kampuni za nje kuja kuchimba madini na uuzaji Bank ya NBC ambayo ni Bank iliyopendwa sana na baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
 
Mtukufu sio jasiri bali ni muonevu pia ni mpenda Visasi huku mshauri wake mkuu Bashite akitumia fursa hizo kutengeneza blackmail za kutosha kwa matajiri kisha kuwachukulia pesa zao kwa njia haramu.
swadakta
 
Lissu ana bipolar so ni mtu anayehitaji uangalizi wa mtu wa karibu
Kunguru kimaumbile si ndege alietazamiwa kuishi maisha anayoishi, ila woga umemjaa kiasi kwamba huwinda kwa kuvizia na sehemu yake kubwa ya maisha ni kula mizoga na takataka za jalalani.

Kunguru wa Lumumba!!
 
 
Lissu huwa anaonekana ana akili sana anapoongea na watu wasioelewa chochote BTW lissu leo ni mwanasheria sababu aliwahi kumlilia Kabudi zaidi ya masaa 7 amtoe kwenye nyavu,Kabudi ana huruma sana
Halafu huyo huyo kavudi anamuogopa lissu
 
Lisu ni bora ila sio jasiri vipi alishindwa kuhoji kipengele cha katiba ya chama chake kiliponyofolewa au kuondolewa kuhusu ukomo wa uongozi hata kukitolea maelezo kisheria kuhusu uhalili wake mpaka leo hatujamsikia kuhusu hilo hapo ndo kidogo ule ujasiri wake una...
 
kuna ukweli unaobakia kwamba Lissu ni Mwanasheria na mwanasiasa mwenye ujasiri wa kipekee kwenye kusimamia sheria na kupigania maslahi ya nchi yetu Tanzania.
Naunga mkono hoja, Lissu ni jasiri kweli toka shule
Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!. - JamiiForums

Pia Lissu na Zitto ndio watu wawili pekee wakisimama na Magufuli 2020, wanaweza kuleta impact, japo sio kushinda, hivyo nilipendekeza Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli! - JamiiForums

P
 
Lissu huwa anaonekana ana akili sana anapoongea na watu wasioelewa chochote BTW lissu leo ni mwanasheria sababu aliwahi kumlilia Kabudi zaidi ya masaa 7 amtoe kwenye nyavu,Kabudi ana huruma sana

Ukikamatwa na chizi lazima ulie au ujifanye umekufa ili akuachie...............
 
Namkubali Lissu sana kwa sababu he is talented. Ni ngumu kuipinga ama kushindana na talanta....utaangukia pua tu.
 
Mtukufu sio jasiri bali ni muonevu pia ni mpenda Visasi huku mshauri wake mkuu Bashite akitumia fursa hizo kutengeneza blackmail za kutosha kwa matajiri kisha kuwachukulia pesa zao kwa njia haramu.
Unasemaa??
 
Paka kufuta watu kwenye ramani ya dunia tena ?Mungu nipe subira
 
Kama ujasiri basi awamu ya tano amekutana na jasiri mwenzie!
ninachojuwa kafanikisha neno moja tu kwa jinsi anavyojiita mimi nikichaa na ninaowachagua ni vichaa basi kama huo ni ujasiri hongera zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…