Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Zipo ndio maana hizi nyuzi zinaendeleaHivi zile buku 7 za Lumumba bado zipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo ndio maana hizi nyuzi zinaendeleaHivi zile buku 7 za Lumumba bado zipo?
Kwa hiyo Kebehi na Katiba Mpya vinahusianaje? Kumbe yule angeachwa afe inaonekana hana shukraniKwahiyo tuachane na mambo ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi,kisa Lissu alienda kuonwa,ila tuambiwage kua suala hilo lipo kwenye mchakato?
Kiongozi wa hivyo anayekaa kimya,huku akiona kabisa katiba itacheleweshwa au haitapatikana na hata hiyo tume huru yawezekana isiwepo hadi tunafikia uchaguzi,huoni hafai?
CCM mmeumbuka vibaya; lambiaheni watu asali sio kuwaweka tu kwenye , mabangoNgoja tumsaidie...View attachment 2564724
Alitakiwa aachwe afe,kwani huwezi fikisha ujumbe wako Hadi Kwa kejeli?"UTOVU WA NIDHAMU NDIO HUU"
Hawa watu huwa hawana shukurani yoyote wameshapata fedha wamshapigia mvinyo sasa ni kudhihaki tu.
Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona.
Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani.
Rais Samia ambaye ndiye kiongozi pekee aliyemtembelea Tundu Lissu alipokuwa amelazwa Nairobi, alikubali pia kumtembelea Tundu Lissu nchini Ubelgiji alipokuwa katika ziara ya kikazi.
Tundu Lissu baada ya hapo alisema Samia alimlipa stahiki zake za Ubunge na kumwambia atamlipa pia na hela zake za matibabu akikamilisha kupeleka vielelezo.
Ukizingatia nchi ilipokuwa imetoka kabla ya Samia kuwa Rais kitendo cha Samia kukutana na Lissu iliwashtua sana CCM na CHADEMA, kwa kuwa kulikuwa na uadui mkubwa sana.
Rais Samia pamoja na hayo alifanya mengi ambayo yalikuwa kinyume na msimamo wa chama chake kilichokuwa na msimamo mkali dhidi ya Chadema kwa manufaa ya Chadema na nchi kwa ujumla
Alifuta kesi nyingi zilikuwa zinawakabili kutoka awamu ya 5, kuwakaribisha nchini waliokuwa wamekimbia nje, kuwapa malimbikizo ya ruzuku, kuruhusu kufanya mikutano ya hadhara iliyokuwa imezuiwa, kufungulia vyombo vya habari, na hata kuahidi kufufua mchakato wa katiba mpya, ambao mtangulizi wake alikataa hata kusikia.
Sasa leo nikaona tweet ya Lissu akimkebehi Samia kuwa hajafanya la maana lolote halafu ameweka bango.
Labda pengine Lissu na wanaharakati wengine wa Chadema hawajui kwamba Samia angeweza kuendeleza aina ya utawala wa Magufuli ambao ndio wengi katika CCM wanataka na ila akatumia busara, na sadly wasingekuwa na la kufanya.
Sasa kiongozi akionyesha busara na nyie onyesheni busara, kuna mengi ambayo bado Chadema na Lissu wanaweza kuwa wanadai au hayaendi kwa spidi kama wanavyotaka lakini kukejeli jitihada za Samia ni kuwapa nguvu wahafidhina ndani ya CCM.
Chadema imeolewa kwa ccm!
Wakubali kulala bila pichu!
Au Lisu hajui haya?
Si alisema amelipwa au zilikuwa propaganda?Lakini hili haliondoi ukweli kabisa kuwa anataka haki yake…..
Lisu anatafuta haki ya kuendelea kuwa mkimbizi katika nchi za watu. Mtu yoyote ambae ashawahi kuishi nje kama mkimbizi au kwa style ya kujilipua ukimbizi anaelewa kinachomfanya Lisu aendelee kubwata.
Sio yeye tu hata hao viongozi ambao bado wana hadhi za ukimbizi kutoka katika nchi za vita kama vile Sudan, Congo, Burundi nk. Wamekuwa wakidhamini vita zinazoendelea katika nchi zao kimya kimya ili wao waendelee kubaki ulaya, marekani, canada na ustralia kama wakimbizi katika nchi hizo.
Amemuendekeza sana
Bora umfadhili Mbuzi View attachment 2565495
Alitakiwa aachwe afe,kwani huwezi fikisha ujumbe wako Hadi Kwa kejeli?
Kwani ccm ilisema haitaki na inatumia mtutu kama awamu ya 5 watafanya nini? Maana nafuu imekuja ni baada ya Mwendazake kufa na kupata Kiongozi mwenye utu vinginevyo kibano kingeendelea.
Lema ameshawambia wasivae boksa watinge chupi tayari Kwa chupi upande
Keshamkebehi tayari ndiyo maana sisi hawa NGO ya kengeza na huyo punga lisu tunasema si viumbe hai wakushirikiana nao, maana kama walimsaliti Dr Slaa na kulamba billion kadhaa za lowasa basi they can say and be on any side as long as their price is negotiated. So Rais Dkt Samia ni muhimu sana kukaa mbali na hawa wahuni maana siku wakianza kumtukana majukwaani ndiyo atajua hajui hawa ni vibaraka

Shoga moja limeshaolewa huko Ubeligiji lina mume kabisa hilo li lisu ni punga punga, na kengeza wenu ni punga punga, waambie waache kumhadaa mwenyekiti wetu
Kwahiyo hayupo sawa kisaikolojia? Hayo yanakuja baada ya kumsema Bibi yako ila akimsema Magufuli huwa hamuoni kuwa ni athari hizo hizo ila mnaona anasema ukweli.
Binafsi sijamshangaa maana namjua Lissu ni nusu kichaa ila nyie mlikuwa mnautumia ulemavu wake huo bila kujua.
Kama mtu mwenyewe unajiita chawa mdudu mchafu, hatutegemei uwe na akili ya kujadili chochote na weweKeshamkebehi tayari ndiyo maana sisi hawa NGO ya kengeza na huyo punga lisu tunasema si viumbe hai wakushirikiana nao, maana kama walimsaliti Dr Slaa na kulamba billion kadhaa za lowasa basi they can say and be on any side as long as their price is negotiated. So Rais Dkt Samia ni muhimu sana kukaa mbali na hawa wahuni maana siku wakianza kumtukana majukwaani ndiyo atajua hajui hawa ni vibaraka
Wewe ni mshamba sana na huelewi siasa.Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona.