Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

Kwa hiyo Kebehi na Katiba Mpya vinahusianaje? Kumbe yule angeachwa afe inaonekana hana shukrani
 
"UTOVU WA NIDHAMU NDIO HUU"
Hawa watu huwa hawana shukurani yoyote wameshapata fedha wamshapigia mvinyo sasa ni kudhihaki tu.
Alitakiwa aachwe afe,kwani huwezi fikisha ujumbe wako Hadi Kwa kejeli?

Kwani ccm ilisema haitaki na inatumia mtutu kama awamu ya 5 watafanya nini? Maana nafuu imekuja ni baada ya Mwendazake kufa na kupata Kiongozi mwenye utu vinginevyo kibano kingeendelea.
 

Umemwelewa Lissu alichosema. Kadai wore waliohusika kutesa watu wakamatwe.
 

Maneno yote hayo kisa Lissu kasema anaomba wote waliohusika kuua na kutwsa watu wakamatwe?.
 

Tumieni mtutu Nani kawazuia. Mbona Magu katumia akapita zake Sasa hivi anajibu mashtaka.
 

Naona mmechukua Lissu kutaka watu wasiojulikana wakamatwe. Unatukana watu makengeza na mashoga halafu unajiona upo sahihi?. Mungu akuhurumue Sana chawa wa mama.
 

Punguza chuki kwa Lissu. Itakusaidia Sana. Maana Kuna mtu alitaka kumuua Lissu ila mwisho kafa yeye.
 

Mashoga wapo CCM akina suphian.
 
Shoga moja limeshaolewa huko Ubeligiji lina mume kabisa hilo li lisu ni punga punga, na kengeza wenu ni punga punga, waambie waache kumhadaa mwenyekiti wetu

Wewe unaumwa sio bure. Unaongea Kama umekatwa kichwa. Eti ana mume, kaolewa lini? Mume wake Nani? Wanaishi wapi?. Siasa imekufanya ujikinai, ujione hufai na wengine hawafai.
 

Kaongea kipi kubaya kwenye tweet yake? Mbona Magufuli akijitangaza hadharani Ni kichaa ukachekelea. Tuache unafiki.
 
Kama mtu mwenyewe unajiita chawa mdudu mchafu, hatutegemei uwe na akili ya kujadili chochote na wewe
 
Kazi iendelee. Kazi tu

Pamoja na kuwa sipendi kutenga Jamii ya Mtanzania katika kufikisha jumbe zangu, (being objective) leo nitakiri, sio rahisi!- Saa nyingine!

Kuna kundi ambalo limekuwa linajenga Tanzania[Utopian] kwa muda mrefu na kwa kutumia, rasilimali ndefu, mbinu hasi na chanya, hadaa, robo ukweli, n.k kwa nguvu zote... na wakaamini hivyo kuwa ahhh Hii Tanzania tumeikamata.....inavyoelekeasivyo hivyo na wako so disappointed. Lakini kitu walichokuwa disappointed nacho ni ile Tanzania ambayo si Halisi. Ni ile[Utopian] A Digital one! walioitengeneza mitandaoni na vichwani mwao.

Sasa wamepigwa na butwaa. 4Reality is setting in

Nitaishia hapo.

Kazi iendelee
 
Wewe ni mshamba sana na huelewi siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…