Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

Kumtembelea sio Kinga ya kuto kuambiwa ukweli. Akamate wote waliohusika na kuua na kupoteza watu.
We mshenzi huo ukweli wako unaufikisha Kwa Lugha ya kejeli? Hilo lingeachwa life maana mtu asiye na hekima hana maana.
 
Maneno yote hayo kisa Lissu kasema anaomba wote waliohusika kuua na kutwsa watu wakamatwe?.
Amekuja Tanzania akakuta mazingira ya kisiasa yamebadilika sana tofauti na vile nyie misukule yake mlivyokuwa mkimuaminisha.
1) mapokezi yake yalidoda

2) mikutano yake ilidoda yani hakuweza kufikia hata historia ya mikutano ya dr Slaa achilia mbali ile ya mzee wa mafuriko (Lowasa)

3) kila alichoongea kilimuhusu mwenyewe tu na familia yake, kitu kilichosababisha watu wenye akili timamu kutokumsikiliza, maana alikuwa anarudia rudia yale yale aliyokuwa anaongea kila siku

4) katoka nduki kwa aibu ile ile aliyokumbana nayo mwaka 2020 baada ya kuangukia pua kutokana na watu wenye akili zao kukataa kumpigia kura ili asije kuikabidhi nchi yetu kwa wakili Amsterdam na mabeberu wenzake ambao walikuwa washamset kipindi kile anarudi Tanzania kugombea

5) mwaka 2020 kisingizio cha kukimbia ilikuwa ni kudai Magufuli alitaka kumuuwa, mwaka huu amekosa kisingizio ikadaiwa ameenda kumuona dr kwa week 2 lakini sasa ni zaidi ya mwezi na hakuna dalili ya kurudi

Mwl Nyerere alisema mtu akishazoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha. Sasa jamaa ameshaonja alivyoonjeshwa huko Ulaya ndio maana hataki tena kutulia nyumbani. Ni mwendo wa kuja kunusa, kuwakebehi watanzania na kutoka nduki kwa sababu zisizokuwa na mshiko.
 
Umeandika kwa uchungu mama kakutuma nini
 
Kaongea kipi kubaya kwenye tweet yake? Mbona Magufuli akijitangaza hadharani Ni kichaa ukachekelea. Tuache unafiki.
Mimi sijasema kaongea kibaya ila tu Lissu ni mbwatukaji na hana hekima hana utulivu.
 
Busara haimaanishi watu wasiseme ukweli.

Kama kakiuka makubaliano yenu ya maridhiano mseme siyo kuzunguka mbuyu.
 
Komredi unakuwa msahaulifu sana. Tulikubaliana chini unaandika namba yako ya simu.
 
Kwani hao viongozi wa chama chako huwa mnawasema wanapokosea? Hiyo tabia haijaanza awamu ya tano tu.

Kila siku tunasema hapa CDM wajenge ofisi yenye hadhi ya chama hicho, na Mbowe muda wake wa kuendelea kuwa mwenyekiti umeisha. Suala la Lowassa kupewa nafasi ya ugombea wa CDM tuko wazi kabisa kuwa haikuwa sahihi. Sasa unataka tuseme kipi Labda? Hiyo tabia ilikuwa wazi na kwa kiburi kikubwa kwenye awamu ya tano.
 
Wengi wenye kukosoa hayo mambo si wanachadema ni ccm au wengineo ila chadema wao huwa wanatetea chama chao kwenye hayo mambo, sema mara zote nakwambia chadema haipo hivyo unavyojiaminisha au unavyotaka kutuaminisha.

Wewe mwenyewe ukihoji sana unajikuta unaitwa sukuma gang.
 

Kwa hiyo mimi nahoji hayo kwakuwa ni CCM?
 
Kwa hiyo mimi nahoji hayo kwakuwa ni CCM?
Mpo wachache(kama sio peke yako) ndio maana nikasema wengi wenye kuhoji hayo masuala ni wana ccm na chadema huwa wanatetea chama chao na kumtetea Mbowe.
 
Mpo wachache(kama sio peke yako) ndio maana nikasema wengi wenye kuhoji hayo masuala ni wana ccm na chadema huwa wanatetea chama chao na kumtetea Mbowe.
Kama CCM mliokua mkitetea udhalimu wa magu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…