Tundu Lissu aache kumsema vibaya Hayati Magufuli


..tukubali kuwa tumegawanyika.

..nyinyi mnaweza ku-focus kwenye miundombinu aliyojenga.

..wengine tunaona miundombinu bila kuheshimu utu wetu na haki zetu ni sawa na kuishi ktk zama za ukoloni.

..Magufuli ametuachia kumbukumbu ya mkoloni mweusi.
 
..tukubali kuwa tumegawanyika.

..nyinyi mnaweza ku-focus kwenye miundombinu aliyojenga.

..wengine tunaona miundombinu bila kuheshimu utu wetu na haki zetu ni sawa na kuishi ktk zama za ukoloni.

..Magufuli ametuachia kumbukumbu ya mkoloni mweusi.
Kama hiyo ndio kumbukumbu uliyonayo kumhusu hiyo nayo ni hoja ya msingi. Mzee atabaki kuwa mtu impactful kwa both detractors and admirers. Na hiyo ni sifa mojawapo ya great men of all times.
 
Mwache ateme nyingi zake. Lakini si mtaji wa kisiasa sasa.
Akitaka uponyaji wa ndani amsamehe tu. Hawezi badili historia.
 
Dikteta uchwara atasiginwa Hadi kaburi lipate joto..

Kuzimu Jehanamu,Duniani huku ananangwa Hadi vizazi viishe.
 

Hujawahi kuwa mzima halafu ghafla ukajikuta kilema wewe, ungekaa kimya.
 
Ila kuna uwezekano kwamba wengine wanaomuunga mkono nikwasababu yakumsema huyo ambae hutaki asemwe
 
Hiyo technique ya lissu ya kutafuta huruma kwa watu kwa kumtukana JPM itampeleka shimoni na hana mda mrefu kwenye siasa.

Maana watanzania wengi saizi ndo wanamkumbuka JPM kwa mambo ambayo aliyatetea na kuyaweka sawa. Mchele usingefika 4000 sasa ye lissu kila anapofungua mdomo topic ni JPM. Anajimaliza
 
Acha upumbavu
 
Duh hapo kwenye kulitazama ndio kazi ilipo maana halitazamiki kirahisi
 
Lenyewe linafikiri linakubalika kuliko Magufuli,.. jinga sana. Kuna siku atapigwa mawe na wananchi badala ya risasi akiendelea kumtukana na kusema uongo kuhusu magufuli.
 
Usiwaachie maharamia na mamluki vibaraka wa Tundu Lissu wakukatishe kauli.
Kazi Tu
 
Hainishangazi kuona Mamluki na Vibaraka wa Tundu Lissu na mihemeko.
Kinachonishangaza ni wao kupindisha kwamba, wanaowakemea mamluki hao kwa utumiaji wao wa lugha za uhasama, lugha za kubeza kejeli na za kunyanyasa dhidi ya Mfu wanageuka na kudai 'anatetewa kwa nguvu' wakati wao ndio wanatumia nguvu na siajabu mamilioni ya Dollar kuhakikisha wanendelea kuwanyonya Watanzania na Waafrika kwa Ujumla. Wanafanya hivyo uwasujudie, uwapigie magoti, yaani wanataka uwe mnyenyekevu kupindukia... kwani yaliyowakuta, yaliyowakuta ni mtu aliyesema, wait a minute, mtuache tupumue...Ule ni ujasiri ule ndio Uzalendo, Nchi kwanza Magufuli aliwaweza aliwanyima Billioni za Mahela. Mirija ilikaba kisawasawa. Wamezusha mengi na wataendelea kuzusha na kupotosha....

....Hilo hapana.....Magulification must go on.

Aluta Continua.
 
dikteta muuaji
 
Jinga kweli, angekuwa mumeo amepigwa risasi 16 unadhani ungeleta huo ujinga wako hapa
 
Sure
 
Hivi unaweza kumsema vizuri muuaji wako kweli?
Jamani tuache kuandika upumbavu kama huu!
Mtu husemwa kwa mazuri au ubaya wake aliofanya hivyo msilazimishe shetani kuwa malaika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…