Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Badala ya kuelezea mipango yake kwamba hiyo pesa ataipata kutoka vyanzo vipi vya mapato, anaongelea kutumia!
Na nyinyi mnashangilia!
Kweli kuongoza chadema ni raha

Kwan nyie mlipata wapi za kununua ndege 11 kwa Cash??
 
Gaddafi aliahidi akiwa Rais sio mgombea. Au mkuu hujui tofauti!?

mkuu,nilichokuwa namaanisha ni kwamba katika Dunia ya siasa hakuna jambo linashindikana,unaweza kuona mwanasiasa kaongea utopolo lakini akafanikisha,hata Hitrel alivosema atainua uchumi wa ujerumani na kulipa kisasi kuna watu waliona anaongea upuuzi
 
mkuu,nilichokuwa namaanisha ni kwamba katika Dunia ya siasa hakuna jambo linashindikana,unaweza kuona mwanasiasa kaongea utopolo lakini akafanikisha,hata Hitrel alivosema atainua uchumi wa ujerumani na kulipa kisasi kuna watu waliona anaongea upuuzi
Hakuna literature yoyote inayoonesha kwamba Hitler aliahidi kulipa kisasi. Site it kama unayo.
 
Mimi nakueleza wazi kuwa hii mishahara inayolipwa kwa mwezi ina makusudio yake kutokana na tabia za nidhamu ya pesa ya kiafrika.
Watalipwa kwa week lazima wajifunze kuwa na nidhamu mpya siyo kukariri Nidhamu ya pesa ya nenda rudi
 
Na pia atafuta madeni yote kwa watumishi
 


kwan hujui kuna mwingine analipwa 20K kwa mwezi, haiwezekani wote kufanana maisha
 
Rais huyo ni Magufuli hivyo ngoja aendelee kutuletea maendeleo! Hatutaki puppet wa wazungu. Lisa sijui Lissu hana msimamo imara zaidi ya kubweka bweka tu. Na uzoefu unaonyesaha kwamba watu wanaobweka dizaini ya tundu lissu si wachapa kazi bali walalamikaji na watafuta sababu za kushindwa kwao (wakwepa majukumu)
 


sasa bila uwekezaji mzito unategemea pesa za kupandisha watu mishahara zinatoka wap? na uwekezaji takes time sasa whats the problem on that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…