Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aahidi neema kwa Madaktari, Walimu na Vyombo vya Dola

Gaddafi aliahidi akiwa Rais sio mgombea. Au mkuu hujui tofauti!?

mkuu,nilichokuwa namaanisha ni kwamba katika Dunia ya siasa hakuna jambo linashindikana,unaweza kuona mwanasiasa kaongea utopolo lakini akafanikisha,hata Hitrel alivosema atainua uchumi wa ujerumani na kulipa kisasi kuna watu waliona anaongea upuuzi
 
mkuu,nilichokuwa namaanisha ni kwamba katika Dunia ya siasa hakuna jambo linashindikana,unaweza kuona mwanasiasa kaongea utopolo lakini akafanikisha,hata Hitrel alivosema atainua uchumi wa ujerumani na kulipa kisasi kuna watu waliona anaongea upuuzi
Hakuna literature yoyote inayoonesha kwamba Hitler aliahidi kulipa kisasi. Site it kama unayo.
 
Mimi nakueleza wazi kuwa hii mishahara inayolipwa kwa mwezi ina makusudio yake kutokana na tabia za nidhamu ya pesa ya kiafrika.
Watalipwa kwa week lazima wajifunze kuwa na nidhamu mpya siyo kukariri Nidhamu ya pesa ya nenda rudi
 
inawezekana kabisa mkuu wafanyakazi tz kwani idadi yao ni ngapi? alafu haiwezekani mwalim alipwe laki nne kama mtumishi alafu yupo mtumishi mwingine alipwe ml 5,6 na kuendelea kisa katibu mkuu wa wizara hakuna na nakataa eti kwa kisa watu watadumbukia kwenye umaskini , hakuna watu wapige kazi na walipwe vizuri maana ndo waleta maendeleo na ndo wanao yasimamia


kwan hujui kuna mwingine analipwa 20K kwa mwezi, haiwezekani wote kufanana maisha
 
..chama kuwa na ofisi za kifahari hakuna mahusiano yoyote na kuendesha uchumi wa nchi vizuri.

..ccm imeanza kuwa na maofisi na magari ya kifahari muda mrefu sana, lakini hiyo haina contribution yoyote ktk kubadilisha hali ya maisha ya waTz.

..waTz tunataka kiongozi anayejali watu, atakayeunganisha waTz, asiye mbaguzi, asiye mkatili, na atakayeleta uongozi wa pamoja.
Rais huyo ni Magufuli hivyo ngoja aendelee kutuletea maendeleo! Hatutaki puppet wa wazungu. Lisa sijui Lissu hana msimamo imara zaidi ya kubweka bweka tu. Na uzoefu unaonyesaha kwamba watu wanaobweka dizaini ya tundu lissu si wachapa kazi bali walalamikaji na watafuta sababu za kushindwa kwao (wakwepa majukumu)
 
..kaka tulikuwa tunaenda vizuri lakini naona umetumia lugha ngumu kidogo.

..kutokupandisha mishahara kwa Jpm kumesababisha maisha kuwa magumu.

..tunahitaji utawala utakaopandisha mishahara RESPONSIBLY bila kusababisha mfumuko wa bei, na hicho ndicho CDM wanakwenda kutupatia.

..Jpm amekuwa ktk usukani kwa miaka 4 sasa, kama hatuoni uwekezaji uliofanyika ktk utawala wake, then he has to go.

..Tunahitaji kuleta utawala mpya utakachochea uwekezaji wa muda mfupi, wa muda wa kati, na wa muda mrefu.


sasa bila uwekezaji mzito unategemea pesa za kupandisha watu mishahara zinatoka wap? na uwekezaji takes time sasa whats the problem on that
 
Back
Top Bottom