Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Papeti,
 
Zitajaa mpaka zitamwagika
 
Chadema watoke wazi waseme kama hiki kitu ni sahihi au kuna ujanja nachoelewa kuna mchakato wa ndani halafu akishapitishwa na chama ndio wanapeleka barua tume ya uchaguzi
 
Hujalazimushwa mkuu.. ni kwa watanzania wapenda demokrasia
Sasa mbona kauli yako haina demokrasia ndani yake.

Maana hata asiyetaka kuchangia ni demokrasia na anayetaka ni demokrasia.

Kama kweli unaihubiri demokrasia...

Kwenye kuchangia...

Wapo watakapinga...wapo watakaokubali na wapo ambao hawajui wakatae au wakubali.
 
Chadema kungekua na Demokrasia, Mbowe asingekua mwenye kiti mpaka leo.
Hapo kuna Domo crasia tu, kama asemavyo mchangiaji mmoja hapo juu.
Makufuli amemfuta uanacha Membe ili asipate mshindani ndani ya chama chake, hiyo ndio demokrasia eti? Kitimoto we.
 
Ndo maana ya demokrasia, ni hiyari...ukilazimisha sio demokrasia tena..au hujaelewa?
 
Anasaka vipi pesa wakati chama bado hakijampitisha kuwa mgombea urais

Asije akajimwambafy kama mwenzake Dr Slaa halafu mwisho wa siku Mbowe anampa nafasi Membe kugombea urais
 
Makufuli amemfuta uanacha Membe ili asipate mshindani ndani ya chama chake, hiyo ndio demokrasia eti? Kitimoto we.
Wala hujielewi kwanza hajafutwa uwanachama pili alionywa kwa Jambo jengine kabisa
 
Anasaka vipi pesa wakati chama bado hakijampitisha kuwa mgombea urais

Asije akajimwambafy kama mwenzake Dr Slaa halafu mwisho wa siku Mbowe anampa nafasi Membe kugombea urais
Soma comment no.2 itakupa majibu.Usiwe kama mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…