Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aanza kusaka fedha za kuwezesha mchakato

Asiwaze! Tupo pamoja katika Safari ya kumkomboa mama Tanzania, hakika tutachanga
 
Nimemuandalia mil 10 za madafu
 
Wala hujielewi kwanza hajafutwa uwanachama pili alionywa kwa Jambo jengine kabisa
Hujielewi wewe unayeshabikia kila kitu cha kipuuzi ilimradi kimefanywa na Mfalme wako makufuli, wewe hata ukiambiwa shika ukuta utafanya hivyo kwa haraka sana. Jinga kabisa wewe.
 
Acha uongo ww...unabishana na polepole (chakubanga)?
Kamati kuu tu ndio yakumfuta uwanachama Wala haijawahai kukaa na kutoa uamuzi wa kumfuta, CCM Ni taasisi kubwa sio sawa na chadema mbowe akilewa tu anawavua uwanachama wabunge/wanachama kwa mdomo tu
 
Hata chama hakijamteua kaanza kuibia hela watu asipopewa au kuteuliwa na chadema atarudisha pesa?
Mnaotaka kuibiwa toeni
 
Hujielewi wewe unayeshabikia kila kitu cha kipuuzi ilimradi kimefanywa na Mfalme wako makufuli, wewe hata ukiambiwa shika ukuta utafanya hivyo kwa haraka sana. Jinga kabisa wewe.
Kweli wewe majimbi jibu lipo Post#68
 
Hujielewi wewe unayeshabikia kila kitu cha kipuuzi ilimradi kimefanywa na Mfalme wako makufuli, wewe hata ukiambiwa shika ukuta utafanya hivyo kwa haraka sana. Jinga kabisa wewe.
Kamati kuu tu ndio yakumfuta uwanachama Wala haijawahai kukaa na kutoa uamuzi wa kumfuta, CCM Ni taasisi kubwa sio sawa na chadema mbowe akilewa tu anawavua uwanachama wabunge/wanachama kwa mdomo tu
 
Kamati kuu tu ndio yakumfuta uwanachama Wala haijawahai kukaa na kutoa uamuzi wa kumfuta, CCM Ni taasisi kubwa sio sawa na chadema mbowe akilewa tu anawavua uwanachama wabunge/wanachama kwa mdomo tu
Chakubanga cku anatangaza yale maamuzi naye alilewa??
 
Puumbavu, unakwepa mada tena? Wewe si unajifanya huko kwa makufuli kuna demokrasia? Iko hivyo.
Nakujibu Tena majimbi

Kamati kuu tu ndio yakumfuta uwanachama Wala haijawahai kukaa na kutoa uamuzi wa kumfuta, CCM Ni taasisi kubwa sio sawa na chadema mbowe akilewa tu anawavua uwanachama wabunge/wanachama kwa mdomo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…