Pre GE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapani ni Ezekia Dibogo Wenje mwenyekiti wa Kanda ya Victoria. Uzuri ushahidi wa mazungumzo upo.
Kumbe kuna ushahidi mungine zaidi ya huu, hebu uweke hapa ili tupime maji na unga mkuu. Sisi tumeelewa ujumbe kupitia picha za mama Abdul na kiongozi mwandamizi wa chama fulan.

Hata kama anachoongea Lisu hukielewi lakn hata picha za mama Abdul na kiongozi hauzioni tu?
 

Attachments

  • images (9).jpeg
    39.9 KB · Views: 4
  • images (10).jpeg
    30.3 KB · Views: 4
Duh, Sasa ni wajibu wa Lissu kutusomea list ya Viongozi wenzake waliokwisha hongwa.

Siasa zetu zina mambo mengi sana, ila pesa zinazotumika kutafuta uongozi zitatufikisha pabaya sana.... Kama story hii ni ya kweli.
Inasemekana kwenye chama chake kuwa Lisu hajawahi kuongea uongo.
 

Attachments

  • images (9).jpeg
    39.9 KB · Views: 5
  • images (10).jpeg
    30.3 KB · Views: 3
Kijana mdogo Abdul anawajambisha Wazee.

Mumtaje na Mbowe sasa.
 
Lisu ana siasa za kitoto za kupenda kuchagua watu siasa za kizamani zililizopitwa na wakati

Lisu kwenye chaguzi zinazoendelea alianza kupanga Timu yake dhidi ya Mbowe na akaanza kutaka kuweka watu wake huku akichafua wengine lengo likiwa kugombea uenyekiti Taifa .Kakwama

Kanda ya Nyasa alimtaka Msigwa na Kanda ya ziwa alimtaka Pambalu dhidi ya Wenje na akawa akimfanyia kampeni Pambalu

Wenje akashinda na kumbwaga chini Pambalu

Sasa Wenje kutaka kugombea cheo chake Cha umakamu mwenyekiti la panic na uwezekano uko mkubwa sana wa Wenje kumshinda Tundu Lisu kwenye sanduku la kura
 
Lissu sio lolote mbele ya Mbowe.
Safari hii hata Lisu mwenyewe anajua hashindi huo uchaguzi anatafuta kura Kwa kuchafia wengine

Alifanya hivyo chaguzi za Kanda haikumsaidia watu wakatupilia mbali porojo zake
 
Hapa ndipo nisipomuelewa Lissu. Alipaswa kumtaja au atuambie kama kuna hatua zimechukuliwa dhidi ya huyo mtu. Na mtu kumwambia kuwa hata fulani amepokea rushwa sio uthibitisho kuwa kweli walipokea. Ina wezekana alimtajia hayo majina ili iwe rahisi kum convince ahamie CCM. Hii habari ya kutaja watu bila kutaja haina tija kwa chama chake. Kama anawaonea aibu ajitoe tu katika hicho chama.

Amandla...
 
Mh.Lissu bado una maswali ya kujibu,je ulipokea mpunga au hawakufika bei?
Mh.Lissu wewe ni mtu makini na mtu wa watu. nadhani wao sio wajinga kutanguliza hongo bila mazungumzo ya kina na wewe.

Mazungumzo yakina yangepima upepo kama una viashiria vya kula rushwa,hawawezi kutaka kuhonga Mh Mbunge mstaafu,Kiongozi mkuu mstaafu wa TLS,Mwanasheria tena advocate nguli,makamu Mwenyekiti wa Chadema, shujaa mpigania mageuzi ya siasa Tanzania unless wana record zako,na kama walikurupuka kukuhonga bila ya kukupima kwenye minzani kwanza basi sio professionals.
Je ulipotambua kuwa Chadema sio mama yako ni baada ya kuletewa mawakala wa michezo michafu au kabla?

Na kama hizi tuhuma ni za kweli basi Chadema imeangukia pabaya.
Kujisafisha kwa dodoki haitoshi labda wirebrush.
 
Duh, Sasa ni wajibu wa Lissu kutusomea list ya Viongozi wenzake waliokwisha hongwa.

Siasa zetu zina mambo mengi sana, ila pesa zinazotumika kutafuta uongozi zitatufikisha pabaya sana.... Kama story hii ni ya kweli.
Mtego huu! Na Tundu Lissu ameushtukia kwa kutowataja japo lengo kuu ni kuwanunua pia. Ila akijatibu tu kuwataka ndipo vurugu itakapoanzia kwa kumshtaki Lissu mahakamani kwa kuwachafulia majina Yao na Kisha waliohongwq kutimkia ccm
 
Mtego huu! Na Tundu Lissu ameushtukia kwa kutowataja japo lengo kuu ni kuwanunua pia. Ila akijatibu tu kuwataka ndipo vurugu itakapoanzia kwa kumshtaki Lissu mahakamani kwa kuwachafulia majina Yao na Kisha waliohongwq kutimkia ccm
Yaani Kodi zetu zinatumika vibaya namna hii!? Aaaaghrrrrr!!!!! Au ndio pesa za kuhongwa na waarabu?
 
Corruption ni hatari sana
Lakini nitoe angalizo tu hii corruption kubwa kwenye siasa this time itavunja nchi vipande vipande

Syo tatizo la cdm tu, naona maccm mmeanza kushangilia kama vile mmeshinda


Big No. 2025 hampiti
 
Duh, Sasa ni wajibu wa Lissu kutusomea list ya Viongozi wenzake waliokwisha hongwa.

Siasa zetu zina mambo mengi sana, ila pesa zinazotumika kutafuta uongozi zitatufikisha pabaya sana.... Kama story hii ni ya kweli.
Siyo "viongozi wenzake" tena.Bought and taken for good!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…