Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Mamlaka inajua inafanya imefanya na nini, imeshachafuka na haitaki kuchafuka tenaHabari,
Mimi ninavyojua Urais ni taassisi, kutuhumiwa kwa JPM ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka.
Lakini cha kushangaza serikali ipo kimya, mama pia yupo kimya, najiuliza huu ukimya unaashilia nini? au ndio utakekezaji wa masharti ya maridhiano?
Sahihi mkuu,Mamlaka ipi? Wote wamoja wana Bosi mmoja, jiulize Ndege yetu iliyoshikwa Uholanzi nini kinaendelea? Nani aliipeleka Uholanzi ili ikamatwe? Fikiria nchi kama Kenya Kanya Airways ishikwe nje ya nchi huo moto wake lkn hii nchi haina mwenyewe, ni foreigners tu!
Hawa waandishi wanakubaliana ni maswali gani watamuuliza. Kule Marekani wakati Lissu anazungumza na walioitwa wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma US alitokea mmoja akauliza swali kuhusu alipo dereva wa Lissu basi mabaunsa walimtoa kwenye mkutano kama haini.
Habari,
Mimi ninavyojua Urais ni taassisi, kutuhumiwa kwa JPM ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka.
Lakini cha kushangaza serikali ipo kimya, mama pia yupo kimya, najiuliza huu ukimya unaashilia nini? au ndio utakekezaji wa masharti ya maridhiano?
Tuliza akili utakekezaji ndio nini?Habari,
Mimi ninavyojua Urais ni taassisi, kutuhumiwa kwa JPM ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka.
Lakini cha kushangaza serikali ipo kimya, mama pia yupo kimya, najiuliza huu ukimya unaashilia nini? au ndio utakekezaji wa masharti ya maridhiano?
Acha atoe ya moyoni buanaHabari,
Mimi ninavyojua Urais ni taassisi, kutuhumiwa kwa JPM ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka.
Lakini cha kushangaza serikali ipo kimya, mama pia yupo kimya, najiuliza huu ukimya unaashilia nini? au ndio utakekezaji wa masharti ya maridhiano?
Kumbe unajua mlikoiba kura zake dadeki!
Alikampeni nchi nzima akiungwa mkono na mwenyekiti mkaja kumtenda kama Dr Slaa
Alijuta baada ya Lisu kutokufariki. Alijua wazi Lisu ataanika huo uovu wake wazi.Ukweli huwa haujifichi.Ni kweli Moja ya makosa ambayo Serikali ya JPM au JPM alifanya kosa ni kutaka Kumuua Lissu.Baadae JPM alikuja kujutia sana Hilo suala lake.Na ndio Moja ya makosa Makubwa serikali yake ilifanya.
Wakati wa Magufuli wasingethubutu hata kidogo. Kwasasa Media ni kama zimetoka kwenye minyororo.Kweli maisha yanaenda kasi, leo hii clouds wanamuhoji Lissu? Kabisaaa yaani?
Picha hii inamjibu Lissu kwa 100%View attachment 2505546View attachment 2505547
Hakupasa kufanya hicho alichokuwa amepanga kufanya
Kuunda tume ni kukwepa kuwajibika. Polisi tayari wana data zote hadi picha za cctv (walikiri awali). Aidha wanahusika na ulinzi wa eneo la tukio. Hivyo wana pre- knowledge ya mazingira yaliyopangwa kabla na baada ya tukio. Na lazima walifanya forensic investigation of the crime scene mara baada ya tukio...Lissu amerudia tuhuma hizo kwa miaka 5 sasa na taasisi ya Raisi imeshindwa kutoa majibu kupangua tuhuma hizo.
..Nashauri Raisi Ssh aunde TUME YA UCHUNGUZI ili wahusika waliojaribu kumuua Lissu wajulikane na wafikishwe mahakamani.
Sasa ni uhuru wa manyani umeshamiri mama amejipiga risasi mwenyeweKwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."
Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.
View attachment 2504783
Asante mkuuHuna akili.