Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Habari,

Mimi ninavyojua Urais ni taassisi, kutuhumiwa kwa JPM ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka.

Lakini cha kushangaza serikali ipo kimya, mama pia yupo kimya, najiuliza huu ukimya unaashilia nini? au ndio utakekezaji wa masharti ya maridhiano?
Mamlaka inajua inafanya imefanya na nini, imeshachafuka na haitaki kuchafuka tena
 
Mamlaka ipi? Wote wamoja wana Bosi mmoja, jiulize Ndege yetu iliyoshikwa Uholanzi nini kinaendelea? Nani aliipeleka Uholanzi ili ikamatwe? Fikiria nchi kama Kenya Kanya Airways ishikwe nje ya nchi huo moto wake lkn hii nchi haina mwenyewe, ni foreigners tu!
Sahihi mkuu,
 
Hakuna waliouliza walinzi waliokuwa getini siku hiyo walikuwa wakina nani au walienda wapi wakati shambulio linafanyika?
Hawa waandishi wanakubaliana ni maswali gani watamuuliza. Kule Marekani wakati Lissu anazungumza na walioitwa wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma US alitokea mmoja akauliza swali kuhusu alipo dereva wa Lissu basi mabaunsa walimtoa kwenye mkutano kama haini.
 
Habari,

Mimi ninavyojua Urais ni taassisi, kutuhumiwa kwa JPM ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka.

Lakini cha kushangaza serikali ipo kimya, mama pia yupo kimya, najiuliza huu ukimya unaashilia nini? au ndio utakekezaji wa masharti ya maridhiano?

Serekali haina muda wa kuchunguza jambo lililo wazi hivyo.
 
Habari,

Mimi ninavyojua Urais ni taassisi, kutuhumiwa kwa JPM ni kutuhumiwa kwa serikali na mamlaka.

Lakini cha kushangaza serikali ipo kimya, mama pia yupo kimya, najiuliza huu ukimya unaashilia nini? au ndio utakekezaji wa masharti ya maridhiano?
Tuliza akili utakekezaji ndio nini?
Unapanic au na wewe ilikuwa ni mmoja wa wasiojulikana?
 
Ukweli huwa haujifichi.Ni kweli Moja ya makosa ambayo Serikali ya JPM au JPM alifanya kosa ni kutaka Kumuua Lissu.Baadae JPM alikuja kujutia sana Hilo suala lake.Na ndio Moja ya makosa Makubwa serikali yake ilifanya.
 
Umejuaje alijutia hili ?

Tindo Bams
 
Kumbe unajua mlikoiba kura zake dadeki!

Alikampeni nchi nzima akiungwa mkono na mwenyekiti mkaja kumtenda kama Dr Slaa

Mwenyekiti ndio alikuwa mpiga kura pekee? Kupiga kampeni nchi nzima ndio kukubalika? Yaani CDM ingerudia ule ujinga wa kuokota takataka toka CCM kama kwa Lowassa tungewaona ni washenzi wa hali ya juu.
Ukweli huwa haujifichi.Ni kweli Moja ya makosa ambayo Serikali ya JPM au JPM alifanya kosa ni kutaka Kumuua Lissu.Baadae JPM alikuja kujutia sana Hilo suala lake.Na ndio Moja ya makosa Makubwa serikali yake ilifanya.
Alijuta baada ya Lisu kutokufariki. Alijua wazi Lisu ataanika huo uovu wake wazi.
 
😁😁😁
16538044797770.jpg
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
..Lissu amerudia tuhuma hizo kwa miaka 5 sasa na taasisi ya Raisi imeshindwa kutoa majibu kupangua tuhuma hizo.

..Nashauri Raisi Ssh aunde TUME YA UCHUNGUZI ili wahusika waliojaribu kumuua Lissu wajulikane na wafikishwe mahakamani.
Kuunda tume ni kukwepa kuwajibika. Polisi tayari wana data zote hadi picha za cctv (walikiri awali). Aidha wanahusika na ulinzi wa eneo la tukio. Hivyo wana pre- knowledge ya mazingira yaliyopangwa kabla na baada ya tukio. Na lazima walifanya forensic investigation of the crime scene mara baada ya tukio.

Tume ni kwa suala la kisiasa au lisilokuwa na sheria au mfano. Sio hili la direct assassination attempt. Serikali (polisi na DPP) wafanye kazi yao. It’s long overdue. Vinginevyo watulie, waendelee kumsikiliza Lissu kama wanafikiri hiyo ndiyo busara.
 
Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa wanafanywaje, hawastahili kuishi."

Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.

View attachment 2504783
Sasa ni uhuru wa manyani umeshamiri mama amejipiga risasi mwenyewe
 
Back
Top Bottom