Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Acha kujifanya mbabe....kuwa mpole tu.
 
Wewe ndo zwazwa lini ulionyeshwa picha za mauaji hadharani?
Tundulisu kama ana ushahidi uo anao lopoka si angeenda mahakaman
Nenda mahakamani wewe ukamshitaki Tundu Lissu kwa kumsema vibaya marehemu Jpm,bado haki unayo kwa mujibu wa sheria na siyo kutuletea ngojera zako humu.
 
Mimi pia nimeshangaa kituo hicho kuruhusu mtu kueleza maneno ya kushangilia kifo cha mtu aliyewahi kuwa Rais wa nchi kwa kuchaguliwa na sio kwa mapinduzi. Kila mtu ni innocent hadi ithibitishwe na mahakama au tribunal. Sasa inakuwa Clouds wanarusha maneno ya Lissu akieleza kuwa alishangilia kifo cha JPM?
Tunatengeneza precedence mbaya sana.
 
Mngeenda kwanza nyie wenye ushahidi kwanza sio mnapga porojo na kilema wenu
 
Hao clouds wenye walikipata che mtema kuni.

Mambo ya Hayati yalikuwa wazi kila mtu anayajua. mnataka kuaminisha nani?
 
Hakuna waliouliza walinzi waliokuwa getini siku hiyo walikuwa wakina nani au walienda wapi wakati shambulio linafanyika?
Two wrongs do not make a right
 
Duh

Kwani Yeye Tundu Lisu alikuwa anapinga nchi?
Jamani hawa watu Tundu, CHADEMA & Co ni wataalamu wa kutunga vitu visivyokuwepo. Wenye kumbukumbu tunakumbuka mwaka 2012 walipanga kujilipua bomu kule Arusha na kweli bomu wakalilipua na kufariki mtu asiyekuwa na hatia. Kama ilivyotarajiwa CHADEMA & Co wakasema eti serikali ndio waliopanga lile shambulio la bomu. Mungu bariki Mchungaji Mtikila alikuja very strongly na kuwaeleza umma kuwa ana ushahidi kuwa bomu walilipua CHADEMA wenyewe. Kuanzia pale Mtikila akawa adui mkubwa wa hao jamaa, the Lissu's. Leo Mtikila angekuwa hai angewaumbua pia.
 
😅😅😅na wewe ni foreigner?
 
umejua kutema mashudu sana uko vizuri
 
Kwanini polisi hawachungjzi au kutaka kujua ni nani aliotoa amli ya kuwaondoa walinzi katika makazi ya viongozi wa serikali eneo ambalo Lissu alishambuliwa??
Na kwanini alizuia matibabu yake ambyo yapo kisheria?
Mungu mwenyewe aliamua kutenda maajabu ili watesi waaibike.
 
Hata ajali ya Chacha Wangwe na mchungaji Mtikila zinafanana
 
The road to hell is paved with good intentions.
 
Nilichofurahi ni Tundu Lissu kulieleza kwa wazi hili jambo manake Sukuma gang walikuwa wakijifanya spin-masters eti ni mivutano ya wao kwa wao kugombea madaraka, wale watetezi wa Jiwe hebu mfungulieni Lissu mashtaka kwa kumzushia mungu-mtu wenu.
Legacy legacy legacy legacy................
 
akili ya kisukumagang bwana..!! Kwahiyo Magufuli hakutaka kumuua Tundu Lissu? Ndio maana mauaji ya albinos na Vikongwe hayaishi huko Usukumani!
 
No exhibit,kukosekana kwa hilo hatuwezi kumuhukumu mtu kwa kuhisia...
Victim anajua kilichotokea, polisi hawako tayari kuiaibisha serikali. Haya maneno aliyoyasema Lissu ni eye opener kwa wale waliokuwa wakijifanya kulitetea lile shetani, ndiyo ameshachafuliwa legacy(Mwendakuzimu) sasa wale wanaotaka kuilinda wamfungulie mashtaka Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…