.Wasaliti ni wale waliokua wanaiba hela za watu kwa mtindo wa plea bargain
Acha kujitoa ufahamu kwa kutetea upumbavu, kiwango cha akili zako ni zero kabisa.Kwahiyo wewe unafkiri wale waliotekeleza tukio hilo ni watu tu wa hovyohovyo au vijana wakuni waliokolea ujinga, bangi na pombe kali vichwani mwao?!
Wewe hata ukiwajua unaweza kuwahukumu?!
Wao ndo wanajua hata usalama wa maisha yako nchini kwa taarifa yako kama hujui... na wanayajua mengi ambayo huyajui na ukiyajua utabaki mdomo wazi kwenye dimbwi la mawazo.
Tundu lisu na hao chadema ni wajinga tu,muda wote wamekalia magu magu,hakuna jingne la kuongea.Jamani hawa watu Tundu, CHADEMA & Co ni wataalamu wa kutunga vitu visivyokuwepo. Wenye kumbukumbu tunakumbuka mwaka 2012 walipanga kujilipua bomu kule Arusha na kweli bomu wakalilipua na kufariki mtu asiyekuwa na hatia. Kama ilivyotarajiwa CHADEMA & Co wakasema eti serikali ndio waliopanga lile shambulio la bomu. Mungu bariki Mchungaji Mtikila alikuja very strongly na kuwaeleza umma kuwa ana ushahidi kuwa bomu walilipua CHADEMA wenyewe. Kuanzia pale Mtikila akawa adui mkubwa wa hao jamaa, the Lissu's. Leo Mtikila angekuwa hai angewaumbua pia.
.Shambulio la mtu katika eneo (makazi) ya viongozi yanayolindwa na walinzi wa umma (polisi) ni mambo ya ndani ya chama!!!?? Huko MCC huwa mnapasuliwa vichwa na kutolewa ubongo!?
Al least someone from CCM has posted a sensible post.Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!
Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?
YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?
Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?
Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!
Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Umejipa jina sahihi kabisa - MPUMBAVU.Ahsante mwerevu... endelea na wewe na werevu wako [emoji4][emoji1488]
Mwenye akili na mwerevu kama wewe ataelewa nazungumzia nini MPUMBAVU mimi.
Bora ungekaa kimya kuliko kuzidi kuonyesha ufala wakoWewe ndio mjinga unayedanganyika kirahisi
Huyo Lisu hajawahi kupinga chochote zaidi ya kuongoza Mapokezi ya Lowasa 2015
Zitto Kabwe ndio alikuwa mkosoaji wa Serikali ya Magufuli
Si hilo peke yake bali hilo ni moja kati ya circumstantial evidences zinazomuangukia Mwendakuzimu.Habari Jf the home of great thinkers,
Nimekaa niwaza sana kufuatia maelezo aliyotoa Tundi lissu katika Mahojiano na clouds kwamba statement hii ilifanya ajue ni nani walihusika kushambuliwa kwake .
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."
Je, hii statement inatosha kuwa ushahidi tosha? Je, wabaya wengine wa Tundu Lissu hawakuweza chukua faida ya hii Statement na kumshambulia?
Je, maelezo yake yana athiri kivyovyote vile uchunguzu wa kushambuliwa kwake?
Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!
Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?
YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?
Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?
Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!
Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Ni Baada ya shambulizi na Sio KABLA!CCM ilimteua bwana Cyprian Majura Musiba kuwa mbwatukaji, aliambiwa ajifiche kwa kutumia kilemba cha uanaharakati
Good questionDuh
Kwani Yeye Tundu Lisu alikuwa anapinga nchi?
Japokuwa nimepata shida kuelewa ulichokiandika lakini ni kama unajichanganya.Hahahahaha ko yeye ndo aliharbu mahakaman kwasababu ndo aluetengeneza Katiba na hata kama angeenda mahakaman yenye haki huo ni ushahidi wakumfunga mtu?
Jamaa anaamin conspiracy theory sana uyo
Ahsante sana! πππΎππΎUmejipa jina sahihi kabisa - MPUMBAVU.
Hivi polisi wanangoja nini kuwachukulia hatua waliotekeleza tukio hilo?
Hana sifa ya kuwa hata waziriNchi ikipata Rais wa aina hii, itakuwa imepata Rais wa hovyo kabisa.
Alikuambia anataka kumuua lisu?Saa zingine kuwa na akiliakili ya kisukumagang bwana..!! Kwahiyo Magufuli hakutaka kumuua Tundu Lissu? Ndio maana mauaji ya albinos na Vikongwe hayaishi huko Usukumani!
Asante kwa kushukuri.Ahsante sana! [emoji4][emoji1488][emoji1474]
Yako mengi wanayoongelea na huyo Mwendakuzimu ni one of the topic, hakuna mwenye kinga dhidi ya kuongelewa. Muovu ataongelewa kwa maovu yake na mwema ataongelewa kwa mema yake, this includes Mwendakuzimu.Tundu lisu na hao chadema ni wajinga tu,muda wote wamekalia magu magu,hakuna jingne la kuongea.