Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Wasaliti ni wale waliokua wanaiba hela za watu kwa mtindo wa plea bargain
.
Screenshot_20230204-100139_Twitter.jpg
 
Kwahiyo wewe unafkiri wale waliotekeleza tukio hilo ni watu tu wa hovyohovyo au vijana wakuni waliokolea ujinga, bangi na pombe kali vichwani mwao?!

Wewe hata ukiwajua unaweza kuwahukumu?!

Wao ndo wanajua hata usalama wa maisha yako nchini kwa taarifa yako kama hujui... na wanayajua mengi ambayo huyajui na ukiyajua utabaki mdomo wazi kwenye dimbwi la mawazo.
Acha kujitoa ufahamu kwa kutetea upumbavu, kiwango cha akili zako ni zero kabisa.
Those stupid killers(wasiojulikana) wanamlinda nani zaidi ya wale wanaowaamrisha na kuwaelekeza watu wa kuwaua, kuwateka, kuwatesa au kuwapora mali. They're nothing but stupid brainless murderers.
 
Jamani hawa watu Tundu, CHADEMA & Co ni wataalamu wa kutunga vitu visivyokuwepo. Wenye kumbukumbu tunakumbuka mwaka 2012 walipanga kujilipua bomu kule Arusha na kweli bomu wakalilipua na kufariki mtu asiyekuwa na hatia. Kama ilivyotarajiwa CHADEMA & Co wakasema eti serikali ndio waliopanga lile shambulio la bomu. Mungu bariki Mchungaji Mtikila alikuja very strongly na kuwaeleza umma kuwa ana ushahidi kuwa bomu walilipua CHADEMA wenyewe. Kuanzia pale Mtikila akawa adui mkubwa wa hao jamaa, the Lissu's. Leo Mtikila angekuwa hai angewaumbua pia.
Tundu lisu na hao chadema ni wajinga tu,muda wote wamekalia magu magu,hakuna jingne la kuongea.
 
Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!

Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?

YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?

Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?

Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!

Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!
Al least someone from CCM has posted a sensible post.
 
Wewe ndio mjinga unayedanganyika kirahisi

Huyo Lisu hajawahi kupinga chochote zaidi ya kuongoza Mapokezi ya Lowasa 2015

Zitto Kabwe ndio alikuwa mkosoaji wa Serikali ya Magufuli
Bora ungekaa kimya kuliko kuzidi kuonyesha ufala wako
 
Habari Jf the home of great thinkers,

Nimekaa niwaza sana kufuatia maelezo aliyotoa Tundi lissu katika Mahojiano na clouds kwamba statement hii ilifanya ajue ni nani walihusika kushambuliwa kwake .

"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."

Je, hii statement inatosha kuwa ushahidi tosha? Je, wabaya wengine wa Tundu Lissu hawakuweza chukua faida ya hii Statement na kumshambulia?

Je, maelezo yake yana athiri kivyovyote vile uchunguzu wa kushambuliwa kwake?
Si hilo peke yake bali hilo ni moja kati ya circumstantial evidences zinazomuangukia Mwendakuzimu.
-Kuzuia party members kwenda kumuona hospitali.
-Kuzuia watu kumuombea.
-Katazo la uvaaji wa T-shirts za 'Get well soon Lissu'.
-Kutokuwepo walinzi(polisi na G4 security guards) katika eneo linalolindwa 24/7 ---- Hapa obvious wahusika na ratiba za ulinzi wanapaswa kujua nani aliamuru kwa kipindi kile cha shambulio pasiwepo na ulinzi.
-Aliyeweza kung'oa CCTV cameras baada ya lile shambulio si mhalifu wa kawaida bali ni watu wanaojua hakuna mtu wa kuwazuia wala chombo cha kuwashitaki.
-Severs huwa zinahifadhi footages zinazorekodiwa na CCTV cameras je ziko wapi, ni kampuni gani ya ulinzi iliyofunga hizo cameras kwani lazima kwenye ofisi zao hizo footages zipo/zilikuwepo.

Haya yote bila mtu mwenye mamlaka makubwa katika nchi yasingewezekana.
 
Huwa nafurahishwa Sana na ujasiri wake huyu jamaa!!

Pia najiuliza ina Maana chama changu ccm kipindi kile kilikosa mbwatukaji tu wa kipropaganda ku spin ubwatukaji wa Lisu!!?

YAANI hata KICHAA au chizi fresh wa kimchongo wa kusema lisu ni HIVI au vile apuuzwe!!?

Ndani wanachama woote sisi tulishindwa kupata mbwatukaji mmoja tu ambae lisu akiitisha press na yeye anaitisha press anabwatuka kama yeye!!?

Kama hakukuwepo walioshauri hilo baass hawakumsaidia Mheshimiwa wakamsusa aamue mwenyewe tu hata kama anakosea au kupatia!!

Mimi BADO naamini tulipaswa KUFANYA KITU Zaidi ya kile kilichotokea!!!

CCM ilimteua bwana Cyprian Majura Musiba kuwa mbwatukaji, aliambiwa ajifiche kwa kutumia kilemba cha uanaharakati
 
Hahahahaha ko yeye ndo aliharbu mahakaman kwasababu ndo aluetengeneza Katiba na hata kama angeenda mahakaman yenye haki huo ni ushahidi wakumfunga mtu?
Jamaa anaamin conspiracy theory sana uyo
Japokuwa nimepata shida kuelewa ulichokiandika lakini ni kama unajichanganya.

1. Pamoja na kuwa na katiba yenye mapungufu makubwa Kwanza aliikanyaga katiba hiyo hata yale machache mazuri yeye aliyaharibu.

2. Majaji na mahakama zetu zilitishwa zikatishika na kupokea maelekezo ya kila aina kutoka juu, haki na uhai vikawa chini ya miliki ya Jiwe lile, nani angethubutu kupeleka shitaka lolote dhidi ya serikali yake na SIYO SERIKALI YA JAMHURI YA TANZANIA maana yeye alidai siku zote kuwa ilikuwa ni serikali yake.

3. Je umesahau kesi za Kabendera, na wengine wengi walioaichiwa kwa kulazimishwa kutoa fedha nyingi.
 
Tundu lisu na hao chadema ni wajinga tu,muda wote wamekalia magu magu,hakuna jingne la kuongea.
Yako mengi wanayoongelea na huyo Mwendakuzimu ni one of the topic, hakuna mwenye kinga dhidi ya kuongelewa. Muovu ataongelewa kwa maovu yake na mwema ataongelewa kwa mema yake, this includes Mwendakuzimu.
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Back
Top Bottom