Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ulikuwepo nchini wakati wa utawala wa dikteta Magufuli?Duh
Kwani Yeye Tundu Lisu alikuwa anapinga nchi?
Yeye ndiye alikuwa nchi. Yeye ndiye alikuwa katiba. Yeye alikuwa bunge, yeye alikuwa mahakama.
Kwa hiyo kumpinga yeye ilikuwa unapinga nchi. Lisu alikuwa anampinga dikteta Magufuli kuzuia exports za concentrates bila ya kufuata sheria.