Tundu Lissu adai Hayati Magufuli ndiye aliyeagiza shambulio la kupigwa risasi dhidi yake Dodoma

Account mbili,mtu mmoja.John na Kulwa.
 
Kama ni mgonjwa wa akili angepelekwa Mirembe na sio kummiminia risasi zaidi ya 16 kama mnaua tembo
Ukichaa wake ndio unaomwaminisha kuwa eti alipigwa risasi! Anaota huyo? Unaikumbuka kauli ya Mama lakini kuhusu askari wa Kitanzania mwenye mafunzo ya ulengaji shabaha?
 
A
Hapa ndipo ulivyo mjinga sasa mkashindwa nini kulipeleka mahakamani ili atafutwe huyo mnayedhani kuwa anahusika maana wenye dhamana ya kulinda raia ni serikali kwa nini serikali hata ilificha picha za cctv camera.
Aliyeshambuliwa hajafungua kesi dhidi ya waliomshambulia na anawajua. Kwanini?
 
Hata mmtetee vipi muuaji, kamwe hamtashinda. Kuna siku ninyi nyote mliohusika kwenye shambulio lile na mengine, mtahukumiwa sawa na matendo yenu. Kejeli zenu wala hazitawalindi dhidi ya uovu wenu.
Ahahahahah! Naisubiri kwa hamu sana hiyo siku. Ila dua la kuku siku zote halimpati mwewe!
 
Kama uthibitisho wa kuhusika kwake, kwa nini msiende mahakamani!?
Lissu moyoni hataki kesi iende mahakamani japo mdomoni anadai hivyo. Kumficha shahidi namba moja inaashiria mtu anataka kesi kweli? Hivi leo hii dereva afike mahakamani aulizwe.swali moja tu kwa nini siku ya ajali alidai kuwa panoja na kuona gari inamfuatilia alimweleza bosi wake Lissu na akajibiwa kuwa haina shida waendelee tu na safari lakini baadaye akihojiwa na DW tv alidai kuwa pamoja na kuona wanafuatiliwa hakumwambia hayo bosi wake? Atakwepa vipi tuhuma kuwa amekuwa akifundishwa kuacha ukweli na kusema anayofundishwa? Lissu haitaki hii kesi mahakamani ataumbuka
 
A

Aliyeshambuliwa hajafungua kesi dhidi ya waliomshambulia na anawajua. Kwanini?
Je huu Ndio utaratibu wa serikali kwa mtu aliyeshambuliwa hadharani kwamba akashitaki au ni kwa Lissu tu?

Lakini pia nilishakujibu juu ya suala la kushtaki, wakati huo angeshitakia kwa mahakama zipi? Au zile zilizokuwa mfukoni mwa anayetuhumiwa?
 
Je huu Ndio utaratibu wa serikali kwa mtu aliyeshambuliwa hadharani kwamba akashitaki au ni kwa Lissu tu?

Lakini pia nilishakujibu juu ya ajili wakati huo angeshitakia kwa mahakama zipi? Au zile zilizokuwa mfukoni mwa anayetuhumiwa?
Hahahahah!
 
Amen.
Ubarikiwe.
 
We ndiyo unachekesha zaidi, kwahiyo vile viapo vyote wanavyoapa kulinda katiba huwa ni usanii? Nilidhani mtu akiapa hakuna tishio ambalo litazidi utii wa viapo...Acheni kudanganya binadamu wenzenu, basi tuseme incase of anything nchi yetu haina walinzi...Maana kuwa mlinzi ni pamoja na kuwa tayari kwa lolote ili nchi na raia wawe salama...Acheni hizo cheap politics.....

Kesho ikija episode nyingine tutaambiwa story hizi hizi...Time is a good dawa!
 
Fikiria mbunge anapigwa risasi, halafu Rais wa nchi hakuwahi kutoa tamko lolote. Nafsi ilimsuta jangili yule
 
Hivi polisi wanangoja nini kuwachukulia hatua waliotekeleza tukio hilo?
[emoji848][emoji848] Fikiri tena uone jinsi ilivyo vigumu kujichunguza na kisha kujishitaki mwenyewe.
Fikiri tena [emoji848]
 



Whatever the case sisi wengine tunasukumwa na sababu za kiutu, haki na uzalendo na uhuru kuona aloagiza na walofanya kitendo kile kibaya sana cha kiharamu ambacho Mwenyezi Mungu amekataa kuuawa kwa Lissu .

Ni kosa gani alofanya linalostahili kuuawa Kwa Lissu?

Halafu watu kama nyie bado mnaona ni sawa hamguswi na utu kulaani jambo hilo ili kwamba asijeakatoa kiongozi mwingine akataka kufanya jambo kama hilo?
 
Hi kwa Sasa Haina maana mh Lissu. Hit in current important issues.ashahukumiwa JPM kwa makosa na dhambi zake. Sasa tuwe current
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…