Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mwacheni Tundu Lissu apumzike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukichaa wake ndio unaomwaminisha kuwa eti alipigwa risasi! Anaota huyo? Unaikumbuka kauli ya Mama lakini kuhusu askari wa Kitanzania mwenye mafunzo ya ulengaji shabaha?Kama ni mgonjwa wa akili angepelekwa Mirembe na sio kummiminia risasi zaidi ya 16 kama mnaua tembo
Aliyeshambuliwa hajafungua kesi dhidi ya waliomshambulia na anawajua. Kwanini?Hapa ndipo ulivyo mjinga sasa mkashindwa nini kulipeleka mahakamani ili atafutwe huyo mnayedhani kuwa anahusika maana wenye dhamana ya kulinda raia ni serikali kwa nini serikali hata ilificha picha za cctv camera.
Ahahahahah! Naisubiri kwa hamu sana hiyo siku. Ila dua la kuku siku zote halimpati mwewe!Hata mmtetee vipi muuaji, kamwe hamtashinda. Kuna siku ninyi nyote mliohusika kwenye shambulio lile na mengine, mtahukumiwa sawa na matendo yenu. Kejeli zenu wala hazitawalindi dhidi ya uovu wenu.
Lissu moyoni hataki kesi iende mahakamani japo mdomoni anadai hivyo. Kumficha shahidi namba moja inaashiria mtu anataka kesi kweli? Hivi leo hii dereva afike mahakamani aulizwe.swali moja tu kwa nini siku ya ajali alidai kuwa panoja na kuona gari inamfuatilia alimweleza bosi wake Lissu na akajibiwa kuwa haina shida waendelee tu na safari lakini baadaye akihojiwa na DW tv alidai kuwa pamoja na kuona wanafuatiliwa hakumwambia hayo bosi wake? Atakwepa vipi tuhuma kuwa amekuwa akifundishwa kuacha ukweli na kusema anayofundishwa? Lissu haitaki hii kesi mahakamani ataumbukaKama uthibitisho wa kuhusika kwake, kwa nini msiende mahakamani!?
Je huu Ndio utaratibu wa serikali kwa mtu aliyeshambuliwa hadharani kwamba akashitaki au ni kwa Lissu tu?A
Aliyeshambuliwa hajafungua kesi dhidi ya waliomshambulia na anawajua. Kwanini?
Hahahahah!Je huu Ndio utaratibu wa serikali kwa mtu aliyeshambuliwa hadharani kwamba akashitaki au ni kwa Lissu tu?
Lakini pia nilishakujibu juu ya ajili wakati huo angeshitakia kwa mahakama zipi? Au zile zilizokuwa mfukoni mwa anayetuhumiwa?
Amen.Muuaji alipelekewa moto toka Mbinguni. Lisu ambaye alitakiwa kufa kwa maelekezo ya dikteta, akashuhudia msiba wa aliyetaka kumwua.
Lisu, daima simama katika haki, tembea katika haki, uishi katika haki. Maana ni kwa kupitia wewe, ukuu wa Mungu uliweza kudhihirika hata mbele ya maibilisi.
Mungu wetu, tunakuomba daima ulilinde Taifa letu na watu wake. Mashetani hata wakija, wasiweke makao katika Taifa hili, bali uwaondoshe kwa kadiri ya hekima yako Bwana. Tunaomba faraja kwaajili ya familia ya Ben Sanane, Aziry, Kanguye na wote walioondoshwa katika Ulimwengu huu kwa agizo la mtawala dhalimu.
We ndiyo unachekesha zaidi, kwahiyo vile viapo vyote wanavyoapa kulinda katiba huwa ni usanii? Nilidhani mtu akiapa hakuna tishio ambalo litazidi utii wa viapo...Acheni kudanganya binadamu wenzenu, basi tuseme incase of anything nchi yetu haina walinzi...Maana kuwa mlinzi ni pamoja na kuwa tayari kwa lolote ili nchi na raia wawe salama...Acheni hizo cheap politics.....Japokuwa nimepata shida kuelewa ulichokiandika lakini ni kama unajichanganya.
1. Pamoja na kuwa na katiba yenye mapungufu makubwa Kwanza aliikanyaga katiba hiyo hata yale machache mazuri yeye aliyaharibu.
2. Majaji na mahakama zetu zilitishwa zikatishika na kupokea maelekezo ya kila aina kutoka juu, haki na uhai vikawa chini ya miliki ya Jiwe lile, nani angethubutu kupeleka shitaka lolote dhidi ya serikali yake na SIYO SERIKALI YA JAMHURI YA TANZANIA maana yeye alidai siku zote kuwa ilikuwa ni serikali yake.
3. Je umesahau kesi za Kabendera, na wengine wengi walioaichiwa kwa kulazimishwa kutoa fedha nyingi.
mtu binafsi haruhusiwi kumiliki assault rifles Tanzania walimshambulia Tundu Lissu wote walibeba SMG! na mpaka leo hamna uchunguzi! Ila uzuri aliyefanya haya anaoza futi sita chini huko Chato!
[emoji848][emoji848] Fikiri tena uone jinsi ilivyo vigumu kujichunguza na kisha kujishitaki mwenyewe.Hivi polisi wanangoja nini kuwachukulia hatua waliotekeleza tukio hilo?
Upo irrelevant. Alichopitia ni swala la uhalifu. Kushambuliwa ni crime kama crime nyingine. Yeye alishambuliwa na wahalifu kwa kumiminiwa risasi. Je magufuri alikuwapo eneo la tukio?!
Je, kuwa raisi ina maanisha uhalifu wowote ukitokea ni wewe umesababisha au umeagiza ufanyike?!
Vyombo vya usalama vipo, wahusika wanajulikana, kwann kama yeye anatafuta haki yake asikomalie waliopo hai na walihusika kuchukuliwa hatua anamtaja mtu ambaye kwanza hakuwapo eneo la tukio, hakushika silaha kumshambulia, na siajabu tukio likiwa linatokea hakuwa akijua lolote hadi akipotaarifiwa?!
I think kwenye hili swala nyie mnaomsapoti tundulisu mnafeli kufikiria sawa sawa kwamba hapa kuna hali ya namna gani.
Mwenzake amekufa kabaki ye anateseka duniani na ulemavu wa kudumuKweli aisee na sasa hivi Lissu yuko hai. Mwenzake sijui yuko wapi.
Afadhali aliyekufaMwenzake amekufa kabaki ye anateseka duniani na ulemavu wa kudumu
Afadhali aliyekufa