Ulikuwepo nchini wakati wa utawala wa dikteta Magufuli?Duh
Kwani Yeye Tundu Lisu alikuwa anapinga nchi?
Siku zote muuaji husutwa na dhamira yake mwenyewe. Hakuweza kuelewa kabisa ni kwa vipi ameshindwa kukamilisha mauji kama alivyokuwa amepanga.JPM hakusema lolote kwani hakutaka kuingilia mambo ya ndani ya Chadema
Muuaji alipelekewa moto toka Mbinguni. Lisu ambaye alitakiwa kufa kwa maelekezo ya dikteta, akashuhudia msiba wa aliyetaka kumwua.Kwani ni kweli Lissu alikuwa msaliti katika mapambano ya serikali kuhusu Rasilimali zake na wakoloni?
Maana kweli ninachojua! Nchi yoyote huwa iko kinyume kabisa na wasaliti na huwa wanapelekewa moto kweli!
SAhivi wanapelekewa moto na shetani huko kuzimuHivi polisi wanangoja nini kuwachukulia hatua waliotekeleza tukio hilo?
Labda nikukumbusheUlikuwepo nchini wakati wa utawala wa dikteta Magufuli?
Yeye ndiye alikuwa nchi. Yeye ndiye alikuwa katiba. Yeye alikuwa bunge, yeye alikuwa mahakama.
Kwa hiyo kumpinga yeye ilikuwa unapinga nchi. Lisu alikuwa anampinga dikteta Magufuli kuzuia exports za concentrates bila ya kufuata sheria.
Kwa hiyo kila anayekufa ni sababu alitendea vibaya watu?Achana na Polisi, Mungu ana deal nao mmoja baada ya mwingine. Najua unajua mtoa amri alipo, kila aliyehusika atamfuata mtoa amri!. Mipango ya Mungu ni mikuu sana!!!
Yeyote yule
Mungu anawapenda sana wenye dhambi ili waifikilie toba!Muuaji alipelekewa moto toka Mbinguni. Lisu ambaye alitakiwa kufa kwa maelekezo ya dikteta, akashuhudia msiba wa aliyetaka kumwua.
Lisu, daima simama katika haki, tembea katika haki, uishi katika haki. Maana ni kwa kupitia wewe, ukuu wa Mungu uliweza kudhihirika hata mbele ya maibilisi.
Mungu wetu, tunakuomba daima ulilinde Taifa letu na watu wake. Mashetani hata wakija, wasiweke makao katika Taifa hili, bali uwaondoshe kwa kadiri ya hekima yako Bwana. Tunaomba faraja kwaajili ya familia ya Ben Sanane, Aziry, Kanguye na wote walioondoshwa katika Ulimwengu huu kwa agizo la mtawala dhalimu.
Ni akina nani haoHivi polisi wanangoja nini kuwachukulia hatua waliotekeleza tukio hilo?
Endelea kunywa mbege mchana:Usiwe unakunywa mbege mchana
Tundu Lisu kajielezea wasifu wake wakati wa awamu ya 5
Tushavunja chungu tulia, u will go down mmoja mmoja kwa hatua!Kwa hiyo kila anayekufa ni sababu alitendea vibaya watu?
Mbona kila mtanzania anajua na liko wazi we unashangaa au unauliza swali?Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 Lissu amesema aliyetoa mari, masaa mawili kabla hajapigwa risasi alisema kulikua na mtu anahutubia na kwenye hotuba yake alikuwa anapokea ripoti ya Bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite, moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba hiyo ni;
"Wale wanaopinga nchi wakati tupo kwenye vita ya kiuchumi nyie wanajeshi mnajua huwa tunafanyaje, hawastahili kuishi."
Ambapo masaa mawili baadae Lissu alishambuliwa Dodoma, akisema bayana kuwa anayemuongelea ni Hayati John Pombe Magufuli, ambapo hata baada ya tukio hilo Rais Magufuli hakuwahi kusema chochote juu ya shambulio hilo.
View attachment 2504783
Wasaliti ni wale waliokua wanaiba hela za watu kwa mtindo wa plea bargainKwani ni kweli Lissu alikuwa msaliti katika mapambano ya serikali kuhusu Rasilimali zake na wakoloni?
Maana kweli ninachojua! Nchi yoyote huwa iko kinyume kabisa na wasaliti na huwa wanapelekewa moto kweli!
Kwahiyo wewe unafkiri wale waliotekeleza tukio hilo ni watu tu wa hovyohovyo au vijana wakuni waliokolea ujinga, bangi na pombe kali vichwani mwao?!Hivi polisi wanangoja nini kuwachukulia hatua waliotekeleza tukio hilo?
Kwahiyo wewe unafkiri wale waliotelekeza tukio hilo ni watu tu wa hovyohovyo au vijana wakuni waliokolea ujinga, bangi na pombe vichwani mwao?! Wewe hata ukiwajua unaweza kuwahukumu?! Wao ndo wanajua hata usalama wa maisha yako nchini kwa taarifa yako kama hujui... na wanayajua mengi ambayo huyajui na ukiyajua utabaki mdomo wazi kwenye dimbwi la mawazo.
Shambulio la mtu katika eneo (makazi) ya viongozi yanayolindwa na walinzi wa umma (polisi) ni mambo ya ndani ya chama!!!?? Huko MCC huwa mnapasuliwa vichwa na kutolewa ubongo!?JPM hakusema lolote kwani hakutaka kuingilia mambo ya ndani ya Chadema