Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

"Nchi hii inaihitaji Dunia, Dunia haituhitaji sisi, korosho tunalima peke yetu?, kahawa tunayo peke yetu? pamba tunalima peke yetu?, dhahabu tunayo peke yetu, tuna kitu gani 'actually' Dunia ikihitaji haiwezi kupata zaidi ya nchi yetu"- Lissu.
Nikweli mkuu,baada ya figisu za magu kuhusu mpaka wetu,unajua magu alidhani akifunga mpaka kenya watakufa njaa? Sasa jamaa wameagiza mahindi ya kutosha toka Mexico sasa hivi wakulima na maize processors wetu ndo wanaisoma namba.Magu resoani
Kwa ivyo hayo majimbo ya Lissu yatakuja lini kwa ulivyomuelewa wewe?
Anaweka kwanza foundation kwa kuleta katiba mpya ambayo inabadiri mfumo na muundo wa utawala ,then uchaguzi unaofuata ndo watu wanagombea,ubunge,udiwani Ugavana na urais,just simple like that,
 
Ni ubabaishaji kwa kwenda mbele kutoka kwa mgombea wa chama cha Mbowe...atoe 'model of operation' itakayodhibitisha kuwa wazo lake hili linatekelezeka bila kuathiri maeneo mengine!!
Mkuu what matters ni kuwa unapata kiasi gani toka kwa watu wangapi and how frequency ya kuzipata ikoje?kucharge kodi kubwa haina maana ndo kukusanya kodi
 
Kenya importation of farm products from afar is not sustainable supply.

Watarudi hatuna haraka nao.

Mchana mwema got run some errands.
Mkuu unajua kwanini Mchele toka India unauzwa bei ndogo kuliko ule wa mbeya au kwanini imported sugar inauzwa bei sawa na kilometer sugar?
 
Having had 5 years of a party supossedly with the experience, systems and powerful members in its highest decision making organs acquiesce to a leadership that has been divisive, by many standards a one man show, precarious, all too happy to toy with the constitution, human rights and people's freedoms, using the heavy arm of the state for self serving interests, laws passed that aren't reflective of broader public interests,
a dysfunctional democracy, downright dangerous to nation building and the the peace we so cherish, it is glaringly obvious running the government isn't accorded the importance it deserves by the powers that be, and is secondary to interest of the party to remain in power.
Huwezi kusema urais haujaribiwi wakati yoyote mwenye upeo anaona ukinyamazia kila aina ya hila, ulaghai na mzaha kutoka kwa utawala unaoutetea kwa ubinafsi wako.
 
Kuna nchi ambayo haifanyi censorship??

Kama iko hivyo kisa cha Snowden kukimbia US nini??

Kwanini Julian Assange bado naye ni mkimbizi mpaka sasa??

Usitake kupotosha, nenda kwenye hizo nchi kama utakuta vyombo vyote vya habari vinamsifiq rais wa nchi hiyo.
 
Tundu Lissu anaongea kwa sauti ya mshindi ambaye yu tayari-mwenye-mamlaka ya kuongoza nchi hii Tanzania.

Na ni kweli tayari nguvu ya umma imeshampa ushindi na mamlaka bado tu taratibu ya kidemokrasia ifanyike kwa kujitokeza kwa wingi kumpigia kura, atangazwe , aapishwe na kisha kuingia Ikulu aanze kazi ya kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Rais wa 6 mwaka huu 2020.
 
Agusie na jinsi atakavyowatetea James Delicious na Amber ruty kwenye hukumu yao
Alishasema Mambo yanayofanyika chumbani MWA watu Serikali yake haitaingilia ni wangapi wanafanya anayofanya amba ruti ya wake/wapenzi wao? Mbona hatuoni mkiwafunga? Tafuta mahali pa kupeleka unafiki wako.
 
Ukiwa CCM hata ukiwa smart inabidi ujifanye boya kwanza ndipo uweze kuendana na mfumo wao.
Rejea;PhD Holders na maprofesa walioko CCM,kabla na baada ya kujiunga!
huwo ni ukweri kabisa jimbo ambalo nimekaa mda mrefu ni la Kyela chini ya Dr Mwakyembe ,huyu mzee alikua maarufu sana kipindi cha Richmond tulikua tunajifuniya tuna MP wamana ...miaka yote imeenda hakuna lolote tutamukumbuka tuu kwatuachia mashimo migodini barabara yote......hawa maprof,Dr yani nimi title tuu yabila maana
 
Ni kosa kubwa kisheria kutamka kuwa wanaoamini Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mgombea mwenyewe ni Wapumbavu.
Yeyeto anayeaminiwa na watz anaweza kuwa Hakuna chuo kinachofundisha uraisi,Kama huyo wa ccm amekuwa kwann asiwe.Hata KANU walisema hivyo hivyo walidharau mwiba
 
Ni kosa kubwa kisheria kutamka kuwa wanaoamini Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mgombea mwenyewe ni Wapumbavu.
Yeyeto anayeaminiwa na watz anaweza kuwa Hakuna chuo kinachofundisha uraisi,Kama huyo wa ccm amekuwa kwann asiwe.Hata KANU walisema hivyo hivyo walidharau mwiba
 
Jiwe anatoa wapi pesa anazohonga hovyo hovyo kwenye misafara yake? Elfu saba isikutoe ufahamu Mkuu.
 

Attachments

  • Lumumba Buku 7.jpg
    20.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…