Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

Having had 5 years of a party supossedly with the experience, systems and powerful members in its highest decision making organs acquiesce to a leadership that has been divisive, by many standards a one man show, precarious, all too happy to toy with the constitution, human rights and people's freedoms, using the heavy arm of the state for self serving interests, laws passed that aren't reflective of broader public interests...
You can’t prove your accusation to the government nor my selfish interests as you claim to be in defending the government. In other words that’s just your opinion.

Hakuna bylaws zinazo lalamikiwa walau huko ndio watu wanaweza jiamulia kwenye kutunga kanuni.

Lakini sheria zote kabla azijafika bungeni zina stages zake ambazo reps wa wadau watakaoguswa wanashirikishwa kujadili na kutoa mapendekezo, kamati ya bunge inajadili na kuhoji concern za sheria na ndio sheria inaenda jadiliwa bungeni; stages zote hizo kuna amendments.

Sasa leta ushahidi ni sheria gani iliyopita bungeni without the due processes?
 
Ni kweli mkuu hali siyo nzuri kwa kila mmoja wetu.
Inshaallah atapata kura yangu panapo uhai, wasiwasi wangu upo kwa upande wa mikakati ya kuwadhibiti CCM na bao la mkono hususani kwa kuanzia upande wa kujumlisha matokeo sahihi (kitengo cha ICT)
 
Mapya ya Lisu

Je Nani anaua wavuvi na kuwazamisha Ziwa Victoria?

Pili: Kushusha Bei ya Vifaa vya ujenzi ili Watanzania wajenge Nyumba Bora.

Kupunguza Kodi kwenye cement, nondo, mabati ili ziwe Bei rahisi
Polepole alivyo na akili ndogo atarukia hii hoja!
 
Kuna mpya.. Hot news from Dodoma

Jiwe , Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima...lengo kuhujumu uchaguzi
 
sikuwahi kufikiria kama huyu mzee hana akili kwa kiwango hiki,hajui hata mipaka ya matumizi ya ofisi ya umma. Anapiga siasa ofisini hata aibu hana.
Aibu ni ya kwako kama jambo linalofanyika ni la kuongeza maisha bora kwa kila Mtanzania hilo linapaswa kupongezwa.
 
Kuna mpya.. Hot news from Dodoma

Jiwe , Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima...lengo kuhujumu uchaguzi
Safi sana kama hiyo ilikuwa agenda maana hatutaki kutawaliwa tena na washabiki wa ushoga. Wenye hiyo nyege wawafuate huko huko ughaibuni. Safi sana angalau unafuatilia vikao vya maana siyo hivi vji-sacos vya ukoo.
 
Kutegemeana kwa dunia ni jambo moja, lakini kusema kwamba Tanzania inaihitaji dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tanzania ni jambo jingine tena la kipuuzi. Unawezaje kuwatoa wananchi wako katika lindi la umaskini usipowapandikizia spirit ya ujasiri, kujiamini na kujithamini. Kama mtu binafsi na kama taifa?...
Huo ndio ukweli wenyewe, jiwe ameshazoea kuwadanganya kila kitu mnaona hakiwezekani

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mbona cement inauzwa bei poa tu au kakaa Sana ubelgiji mpaka kasahau hilo.

Uhuru upi huo zaidi ya huu alionao yeye was kutukana wenzake majukwaani, au anataka tuwe na uhuru wa kuvunja sheria bila kuchukuliwa hatua?
Wewe kila siku mama yako anadhalilishwa na jiwe hatukusikii ukikenuwa leo mnapigwa spana mnasema matusi tulieni dawa iwaingie

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mtazuia kelele maana mna ulevi wa madaraka, lakini sio kubadili mitazamo ya watu. Mbona miaka hii mitano mmefanya ukatili wote na bado hamjabadili mitazamo ya watu? Mitano imeisha, na mitano ijayo iwapo mtafanikiwa kujitangaza mtafanya mtakavyo, lakini itaisha na tutarudia kwenye maisha yetu ya kawaida na shombo tutawapaka kama kawaida. Imeisha hiyo.
Shombo ni jadi ya upinzani isiyokuwa na mipango ya kuchukua dola!
Bench mtasugua sana miaka nenda rudi😂😂😂😂😂
 
Hawana akili kabisa! Hizo korosho soko ni kwa hao wazungu na Asia, dhababu soko ni kwa hao wazungu na Asia. Fedha za kigeni tunategemea utalii kutoka kwa hao wazungu na Asia alafu inapiga kelele hapa Eti mabeberu, sijui ukoloni mamboleo. CCM ni wajinga sijawai kuona 😂😂
Nahisi wew unamkenulia beberu ili akulishe tongo kwa dole gumba 😯😯😯
 
You can’t prove your accusation to the government nor my selfish interests as you claim to be in defending the government. In other words that’s just your opinion.

Hakuna bylaws zinazo lalamikiwa walau huko ndio watu wanaweza jiamulia kwenye kutunga kanuni.

Lakini sheria zote kabla azijafika bungeni zina stages zake ambazo reps wa wadau watakaoguswa wanashirikishwa kujadili na kutoa mapendekezo, kamati ya bunge inajadili na kuhoji concern za sheria na ndio sheria inaenda jadiliwa bungeni; stages zote hizo kuna amendments.

Sasa leta ushahidi ni sheria gani iliyopita bungeni without the due processes?

..bunge limejaa wana-ccm ndiyo maana linatunga sheria zinazokandamiza wananchi.

..tukipata bunge ambalo hakuna chama chenye super-majority, sheria zitakazotungwa na bunge zitakuwa na nafuu kuliko sasa hivi.
 
Lissu aliulizwa kama jiwe angekuwa pembeni yako hapo ungemwambia nini akajibu ningemwambia nakushinda uchaguzi.
Mwaka huu maamuzi yatakuwa ya watu sio ya tume.
Sipati picha huyu Lisu after 28/10 akaangukia kichogo sijui atabaki Bongo kuhangaikia Makesi yake ama atatimkia Kwa mabeberu zake 😂😂😂😂😂
 
Kujiweza ni kujiweza, mkuu, siyo kusema tunajiweza! Miaka mitano tumekopa zaidi ya awamu zote combined! Na misaada tunapewa sana, juzi kati tu hapa Zito alituchoma kwa ‘Mabeberu’ tunyimwe msaada, ccm wote mkasema msaliti, Baba mkwe, Bulembo, akaenda mbali akasema Lisu auawe!! Tunataka msaada sana, na tunasaidiwa sana!! Tatizo letu, unakula ukishiba unamtukana aliye kulisha!
Ni kweli mkuu tunasaidiwa hatukatai ila
Kuna unafuu mkubwa sana kwa serkali yetu kujiimalisha kwenye ukusanyaji kodi, nafikiri pasingekuwa na mkazo mkubwa kwenye kodi, hii nchi tungewapiku hata kenya kwa uombaomba kwa mabeberu ukilinganisha na Mega Project zinazoendelea ndani ya nchi kwa speed ya ajabu aisee
 
Sipati picha huyu Lisu after 28/10 akaangukia kichogo sijui atabaki Bongo kuhangaikia Makesi yake ama atatimkia Kwa mabeberu zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watz wa sasa si mazuzu tena... Ambapo ndio umekuwa mtaji wenu miaka nenda rudi.
20200926_102144.jpg
 
Ni kweli mkuu tunasaidiwa hatukatai ila
Kuna unafuu mkubwa sana kwa serkali yetu kujiimalisha kwenye ukusanyaji kodi, nafikiri pasingekuwa na mkazo mkubwa kwenye kodi, hii nchi tungewapiku hata kenya kwa uombaomba kwa mabeberu ukilinganisha na Mega Project zinazoendelea ndani ya nchi kwa speed ya ajabu aisee
Utawala wa mkono wa chuma, umeumiza watu, biashara zimekufa, watu wamekufa! Unamkamua kodi Mtu mwenye maisha yapi! Kwa sababu kumzibiti mfanyabiasha ni kumzibiti mlaji wa mwisho, ambaye ni wale walala hoi!

Alafu huwezi kutumia mifuko ya jamii, kuacha kuongeza mishahara, kuacha kuajiri, kwa miaka mitano, for the sake of major projects!! Hatuwezi kula ndege na flyovers, wakati wa major projects, maisha mengine yanapaswa kuendelea!
 
Mfano ndio wew sasa ndie Rais na unataka ujitegemee kiuchumi uachane na utegemezi wa wamagharibi,
Ungelifanya nn hasa kujiimalisha kifedha?
 
Mfano ndio wew sasa ndie Rais na unataka ujitegemee kiuchumi uachane na utegemezi wa wamagharibi,
Ungelifanya nn hasa kujiimalisha kifedha?
Ningeanza na elimu! Msingi wa elimu yetu ni butu. Ningejenga mfumo wa elimu unaomjengea mwanafunzi maarifa na ubunifu. Wakati huo ningeheshimu na kuboresha sekta binafsi. Ningetengeneza mikataba ya rasilimali zetu, inayonufaisha nchi na kuzalisha faida! Na kadhalika na kadhalika!

Kipato cha watu ni chanzo KiKUU cha cha uchumi, lakini rasilimali zetu zinaweza kutusaidia sana. Pamoja na hao nitaendeleza uhusiano na nchi nyingine, siyo kutaka tu msaada, hakunaga free lunch, lakini trading!
 
Back
Top Bottom