Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

... neo colonialism ni slogan za mavyama ya kijamaa kuwapumbaza wanachi ili watawala waweze kula vizuri keki ya nchi bila kubugudhiwa. Sijui mtawala unapojenga international airport kijijini kwako ambao utautumia wewe na familia yako tu unakuwa unawaza nini vile? Kufumua mfumo mzima wa utawala; Katiba mpya; na kufumua sheria za kipuuzi ni suluhisho la la matatizo mengi.
Unaamini kuendelea kudumisha mahusiano ndio tutaondokana na UKOLONI MAMBO LEO

Kikubwa aliulizwa atafanyaje negative impact za neo colonialism ziondoke au zipungue
 
Mbona cement inauzwa bei poa tu au kakaa Sana ubelgiji mpaka kasahau hilo.

Uhuru upi huo zaidi ya huu alionao yeye was kutukana wenzake majukwaani, au anataka tuwe na uhuru wa kuvunja sheria bila kuchukuliwa hatua??

Uhuru wa kufanya money laundering??

Uhuru wa kukwepa kodi??

Uhuru wa kuuza madawa ya kulevya??

Nadhani Lisu anazungumzia Uhuru wa aina hiyo.
 
lissu analeta janja janja
huwezi kushusha bei ya cement kama vile unavyoshusha bei ya kupima viwanja
Kuna gharama za uzalishaji na uendeshaji mpaka kuzalisha
lissu aache janja janja

Kampeni za 2010 ccm walikuwa wanasema elimu bure haiwezekani maana hata Nyerere alishindwa. 2015 ndio ikawa ajenda yao kuu! Ni hivi tutaelewana tu.
 
Ni ujinga kusema eti sasa hivi chadema wako organized kulilo enzi za Slaa na Lowasa
 
Mbona cement inauzwa bei poa tu au kakaa Sana ubelgiji mpaka kasahau hilo.

Uhuru upi huo zaidi ya huu alionao yeye was kutukana wenzake majukwaani, au anataka tuwe na uhuru wa kuvunja sheria bila kuchukuliwa hatua??

Uhuru wa kufanya money laundering??

Uhuru wa kukwepa kodi??

Uhuru wa kuuza madawa ya kulevya??

Nadhani Lisu anazungumzia Uhuru wa aina hiyo.
Mwacheni Lisu aongee apendavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta
 
"Katika siasa mtaji ni watu. Ukitaka kujua mwanasiasa anaungwa mkono au haungwi mkono kiasi gani, ishara ni watu wangapi wamekwenda kumsikiliza. Lakini hakuna mwanasiasa anayeuliza kama wanaokwenda kwenye mikutano yake wamejiandikisha."- Mgombea Urais (CHADEMA), Tundu Lissu
Mbona kama kakata tamaa
 
Mtatutambua tukishaingia Ikulu
Saizi fanyeni yooote mwezayo maana ndii wenu wa kujiachia, pazia likifungwa hatutaki Kelele za vijana maana mda huo tutakuwa kazkazi tu

Ni kweli mtazuia kelele maana mna ulevi wa madaraka, lakini sio kubadili mitazamo ya watu. Mbona miaka hii mitano mmefanya ukatili wote na bado hamjabadili mitazamo ya watu? Mitano imeisha, na mitano ijayo iwapo mtafanikiwa kujitangaza mtafanya mtakavyo, lakini itaisha na tutarudia kwenye maisha yetu ya kawaida na shombo tutawapaka kama kawaida. Imeisha hiyo.
 
Kujiweza ni kujiweza, mkuu, siyo kusema tunajiweza! Miaka mitano tumekopa zaidi ya awamu zote combined! Na misaada tunapewa sana, juzi kati tu hapa Zito alituchoma kwa ‘Mabeberu’ tunyimwe msaada, ccm wote mkasema msaliti, Baba mkwe, Bulembo, akaenda mbali akasema Lisu auawe!! Tunataka msaada sana, na tunasaidiwa sana!! Tatizo letu, unakula ukishiba unamtukana aliye kulisha!
Amekopa ngapi na nyuma tulikopa ngapi?
 
Unaamini kuendelea kudumisha mahusiano ndio tutaondokana na UKOLONI MAMBO LEO

Kikubwa aliulizwa atafanyaje negative impact za neo colonialism ziondoke au zipungue
... kwa hiyo kuvunja kabisa mahusiano ndio njia bora ya kuondokana na huo unaotambulika katika fikra mfu za kijamaa kama "ukoloni mamboleo"?
 
Hajui ata hizo hela za fidia anazo ahidi atatoa wapi let alone za kuongeza mishahara ya wafanyakazi kama angeulizwa wala za kulipa madeni ya nchi halafu atashusha kodi.

Kupunguza matumizi ya serikali Lissu atafuta wakuu wa mikoa na wilaya hawana shughuli kwa mujibu wake on the same token of cost anapendekeza serikali za majimbo which is more costly to run, creates more employment and higher bill for taxpayers.

Halafu kuna mapoyoyo utawasikia Lissu ni mpango wa Mungu mtu ambae anajiropekea tu.
Wewe ni mnufaika binafsi wa uwepo wa Magufuli, hujali shida wanazopata wananchi maskini wàsiojua kesho watakula nini. Nyie endeleeni kusifia uwanja wa ndege Chato kwa sababu ukienda likizo toka hapo Wizara ya Mambo ya nje ulipopachikwa na baba yako unapanda ndege kwa amri ya baba yako.
 
... kwa hiyo kuvunja kabisa mahusiano ndio njia bora ya kuondokana na huo unaotambulika katika fikra mfu za kijamaa kama "ukoloni mamboleo"?
Hawana akili hawa CCM. Ni ujinga tu umewajaa kichwani
 
Nyie mmeondoaje huo ukoloni mambo leo???
... kwa kutemebeza bakuli - KWA UFADHILI WA WATU WA MAREKANI; UK Aid, JICA, n.k halafu kutwa kucha kuwatukana majukwaani. I think we have something wrong upstairs!
 
Nilitegemea aseme wapi ameona mapungufu (USA/UK katika mikataba ya Watanzania).

Wewe uonavyo na ujuavyo tunafaidika na kilichopo kwetu (Rasilimali)
 
Sasa hapo ndipo ninapotofautiana na Lissu. Ubeberu ni real, na asitufanye kwamba hatuoni uhuni wa mashirika makubwa ya kibeberu yanayojikita katika nchi maskini yakitake advantage ya mifumo mibovu ya usimamizi wa raslimali ya serikali za nchi maskini.

Pili, kauli za style ya Lissu anayeizungumzia nchi yake kama isiyojiweza na inayetegemea serikali za magharibi ili tuishi ni kauli za kipumbavu mtu yeyote huru na anayejiamini na anayoipenda nchi yake hawezi kuiunga mkono. Kwamba sisi hatuwezi kujitegemea? Huku kujidharau abaki nako yeye, sisi tunaweza na tunajiweza inferiority complex aliyo nayo yeye ni yake mwenyewe.
Hata simu au computer uliyotumia hapa ni kwa msaada wa mabeberu; Marekani, Canada, China, Germany, UK nk.

Mifumo mibovu inasababishwa na walioko madarakani kama dili zao hivyo usilaumu ubeberu laumu mafisadi walioko nchini.
 
... kwa kutemebeza bakuli - KWA UFADHILI WA WATU WA MAREKANI; UK Aid, JICA, n.k halafu kutwa kucha kuwatukana majukwaani. I think we have something wrong upstairs!
Hawana akili kabisa! Hizo korosho soko ni kwa hao wazungu na Asia, dhababu soko ni kwa hao wazungu na Asia. Fedha za kigeni tunategemea utalii kutoka kwa hao wazungu na Asia alafu inapiga kelele hapa Eti mabeberu, sijui ukoloni mamboleo. CCM ni wajinga sijawai kuona 😂😂
 
Nashangaa mnasema anaongea, mbona yeye anapita kila mahali anasema tanzania haiko huru kuongea?? wakati huo huo anaongea!! Kichaa Lissu hana sifa hata moja ya kuwa Rasi hata wa TFF
 
Mbona cement inauzwa bei poa tu au kakaa Sana ubelgiji mpaka kasahau hilo.

Uhuru upi huo zaidi ya huu alionao yeye was kutukana wenzake majukwaani, au anataka tuwe na uhuru wa kuvunja sheria bila kuchukuliwa hatua??

Uhuru wa kufanya money laundering??

Uhuru wa kukwepa kodi??

Uhuru wa kuuza madawa ya kulevya??

Nadhani Lisu anazungumzia Uhuru wa aina hiyo.
Cement bei poa ni sh ngapi.
 
Back
Top Bottom