kapinandemanga
Member
- Aug 5, 2020
- 48
- 85
Unaamini kuendelea kudumisha mahusiano ndio tutaondokana na UKOLONI MAMBO LEO... neo colonialism ni slogan za mavyama ya kijamaa kuwapumbaza wanachi ili watawala waweze kula vizuri keki ya nchi bila kubugudhiwa. Sijui mtawala unapojenga international airport kijijini kwako ambao utautumia wewe na familia yako tu unakuwa unawaza nini vile? Kufumua mfumo mzima wa utawala; Katiba mpya; na kufumua sheria za kipuuzi ni suluhisho la la matatizo mengi.
Kikubwa aliulizwa atafanyaje negative impact za neo colonialism ziondoke au zipungue