Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kichaa wewe ?Sasa wewe si jinga tu ndio maana una muona Lisu anaakili?
Huyo mtamchagua nyie wajinga wenzie wa chadema! Watanzania hawawezi kumchgua mtu aliekiri kwa mdomo wake kwamba alipigwa risasi sababu ya usaliti
Nyie mataahira huwa bado tu mnamuamini huyo Meko?Kwahiyo ni kweli Lisu alikuwa anaifanyia nchi usaliti ndio maana akapigwa Risasi?
Mtamtetea sana nwaka huuSijawahi kusikia serikali yenye wahalifu wapumbavu kama Tanzania. Inawezekana Magufuli alikuwa hajui kinachpkwenda kutokea, lakini wahuni wakachomeka kwenye hotuba yake ili aonekane alikuwa anajua shambulizi lile na hivi hata yeye uwezo wa kuchuja maneno ni below 0, basi akalipuka nalo.
Mdomo jamani huponza.Sijawahi kusikia serikali yenye wahalifu wapumbavu kama Tanzania. Inawezekana Magufuli alikuwa hajui kinachpkwenda kutokea, lakini wahuni wakachomeka kwenye hotuba yake ili aonekane alikuwa anajua shambulizi lile na hivi hata yeye uwezo wa kuchuja maneno ni below 0, basi akalipuka nalo.
Toa na sababu ili tuone kama una hoja za msingiHuyu jamaa hafai kua rais wa JMT. Labda chadema waanzishe cheo kipya cha rais wa mpe lissu lakini kwa JMT hawezi kabisaàaa.
Tuhuma zipi za uongo? We hili suala la Dereva halikufikirishi? Kwanini anafichwa mpaka Leo? Weka ushabiki pembeni upe ubongo wako walau dakika 2 utafakari utaona kuna jambo lina mantiki hapa.Tutakuja kubaki midomo wazi kwa kuwa bado mnatafuta pa kushikilia ila hampapati.
Kila mkijaribu hoja mfu na tuhuma za uongo zinakuwa hazina mashiko. Ni ukweli tu ndiyo utawaweka huru, katika hili AMINI NAKUAMBIA.
Kwanini iwe ipo siku? Ni vema muwashugulikie sasa ili tujueNi nyie nyie chadema ndo mlimpiga Lissu risasi. ipo siku itajulikana. Tubuni
Muda wa sera bado mkuu. Hvi tuwaeleweshaje? Muda huu hatakiwi kutoa sera mpaka atakapoanza kampeni mkuu. Umenisoma?Tunataka sera atasaidiaje wakulima, machinga, wasomi, wajiriwa,viwanda,uchumi,siasa ,elimu ,aachane na mambo ya risasi
Kama hizo CCTV Camera zilikuepo, basi zitatolewa mahakamani kama ushahidi. Hamuwezi kuonyeshwa nyinyi kama viongozi wenu walivowalisha matango pori.Tunataka zile cctv kamera zilizotolewa tuzione kwanza
we kweli hamnazo, sasa ataanzaje kuacha kusimulia yaliyomsibu kwa mfano?!.Sijaelewa vizuri. Kwani Tundu amerudi nchini ili kugombea urais au kutwambia waliyomshambulia?
Jina huaksi tabia ya mtu (TUNDU)
Kama adhabu ya Lissu ilitoka kwa Mungu na kwa marisasi yale yote unataka kutueleza nini labda?Watu wa Sodoma na Gomola walijiumba!? Kama unawajua watu hao utakuwa umenielewa.
yule mungu wa chatoTundu Lisu kaadhibiwa na Mungu, some punishment is just, na bado, ...
Mbona mtoto wa kiume unajichekesha hovyo.[emoji3][emoji3][emoji3]Na bado utapanic sana
Kwenye vitabu hivyo hivyo vitakatifu, tunaambiwa Shetani alikuwa malaika mwenye cheo kikubwa. Inasemekana shetani bado anadunda humu duniani. Someni vitabu hivi vitakatifu vyote na kwa ufasaha! Je. Unakubali shetani anarandaranda duniani ama la?Kama adhabu ya Lissu ilitoka kwa Mungu na kwa marisasi yale yote unataka kutueleza nini labda?
1. Kwamba Mungu hana shabaha kwa kushindwa kumuua?!
2. Kwamba Mungu akaendelea kushindwa zaidi hata Lissu leo anatembea?!
3. Kwamba Mungu anaweza kushindwa na Lissu?!
Infact, katika tukio kama lile ni Mungu pekee ndiyo anayeweza kumuokoa Lissu na si vinginevyo.
sasa polisi wa nchi hii wanakwama wapiTuhuma zipi za uongo? We hili suala la Dereva halikufikirishi? Kwanini anafichwa mpaka Leo? Weka ushabiki pembeni upe ubongo wako walau dakika 2 utafakari utaona kuna jambo lina mantiki hapa.
Tumieni sheria kumshtakiSwali langu kwa Tundu Lisu, je yeye ndio alikuwa anawasiliana na hao mabeberu kuwapa taarifa nyeti alizoiba toka selikalini na kuisaliti nchi..?
Kama jibu ni ndio, kama kweli alikuwa anafanya hivyo basi hastaili kuishi kabisa.