gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Nani msaliti? Lissu amekuwa akipambania rasilimali za nchi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa tangu enzi ya Mkapa.Sasa aliesema kapigwa risasi kwa usaliti ni Lisu au meko?
Usiwe na ubongo kama wa mende
Baada ya hiyo ambayo huyo baba ako anaiita vita ya uchumi, makinikia bado yapo pale Dar?
Sio yeye aliyetoka hadharani na kukiri kuwa hao mabeberu (wa Barrick) ni wanaume kweli kweli baada ya kuahidiwa kishika uchumba cha $300m?
Walilidanganya taifa na wale maprofesa uchwara kuwa tunawadai Barrick zaidi ya $195b (zaidi ya trilioni 450) na kwamba tukilipwa fedha hizo zinaweza kumpatia kila mtanzania noah, kuna hata senti imelipwa hadi leo?
Taarifa zilizokuwa zikiombwa na Lissu ni kuhusu mikataba waliyoingia Barrick na serikali ambayo ilisainiwa ili kuweka ukweli hadharani, huku huyo Jiwe akiwa kaufyata na anaunga mkono hoja bungeni then leo anajifanya mtetezi.
Kwa kifupi Jiwe ndio msaliti na mnafki namba moja nchi hii