Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
Kwanini yeye ajishtukie? Maana Magu hakutaja mtu
Unajifanya mjinga siyo? Yaani hoja yako imefikia ukomo wake hapo? Unatetea uovu kwa maslahi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini yeye ajishtukie? Maana Magu hakutaja mtu
msaliti mkubwa huyo hafai hata kwenye shimoView attachment 1543623
Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017.
Akihutubia umati wa wananchi, alikumbushia historia ya tukio lake la kumiminiwa risasi, ambapo aliponea chupuchupu kuuawa na kukimbizwa nchi za nje kwa matibabu.
Akisimulia mkasa huo alieleza kuwa kuna "connection" kati ya hotuba aliyoitoa Rais Magufuli, ya uzinduzi wa ripoti ya tume ya madini, masaa takribani mawili, kabla ya kupigwa kwake risasi, aliyotoa akiwa Ikulu, jijini Dar-es-Salaam.
Aliendelea kueleza kuwa katika hotuba hiyo aliyotoa Rais Magufuli, ambayo alidai ipo ndani ya YouTube, alimnukuu Rais akiyatamka maneno yafuatayo "Katika mapambano ya kijeshi, huwa wana kawaida ya kumwua, askari yeyote ambaye anawasiliti katika mapambano yao, vile vile katika vita ya kiuchumi ambayo nchi yetu inapigana hivi sasa, hatuwezi kuruhusu ku-survive kwa mtu mmoja, ambaye imebainika amekuwa akiwasiliana mwanasheria wa kampuni hiyo ya madini, Deo Mwanyika, ili kumwibia taarifa mbalimbali nyeti, katika lengo lao wakishirikana na mabeberu kutoka nje ya nchi, katika kutuhujumu malipo yetu ya madini, hastahili kabisa ku-survive" mwisho wa kunukuu.
Tunajua kuwa katika tukio hilo la kupigwa kwake risasi mwaka 2017, Tundu Lissu, Jeshi la Polsi limekuwa likutaaminisha kuwa uchunguzi wa tukio hilo unakwamishwa na Tundu Lissu, muhanga mkubwa wa tukio hilo, pamoja na Dereva wake, ambao wote walikuwa wameenda nchi za nje kwa matibabu.
Hivi sasa Tundu Lissu amesharudi nchini na amewapa "hints" ya kilichompata siku ile ya kutisha sana, ambapo "watu wasiojulikana" walimpiga risasi mfululizo 16 mwlini mwake katika jaribio la kutaka kumwua na ameeleza mwenyewe nini kilimtokea siku ile, ambapo Jeshi letu la Polisi, limekuwa likidai kuwa limekwamishwa kuendelea na uchunguzi wake, kutokana na kukosekana ushahidi huo wa Tundu Lissu
Kwa hiyo nadhani Jeshi la Polisi lingeanza kufanyia uchunguzi wa tukio lile sasa, kwa "hints" alizozitoa yeye mwenyewe muathirika wa tukio lile Tundu Lissu.
Hili swali fikirish! Kama Lissu ana majibu atupatie kwa niaba.Dereva je? Anarudi lini maana yule ndo alishuhudia kila kitu.
Tunataka atuambie zile risasi alizopigwa lissu katika mguu wa kulia upande aliokua amekaa yeye zilimkosaje zikampata Lissu.
Tulia wewe. Hii kesi haijafa, watu wana akili zao timamu. Wanasubiria muda muafaka tu.
Hata Lissu alikua ana uwezo wa kwenda kufungua mashitaka ya shambulio dhidi yake. Jiulize why hajafanya hivyo, badala yake kakimbilia kuchukua fomu ya urais. Haya mambo ni mazito, mtakuja kubaki midomo wazi.
Kuua msaliti wa nchi ni sawa tu na polisi kuua jambazi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tunataka zile cctv kamera zilizotolewa tuzione kwanzaTunamtaka dereva wa Tundu Lissu ili tuuanze uchunguzi rasmi, kwa nini dereva anafichwa?
Nadhani najadili hili na mtoto mdogo au MTU mzima asiye jielewa.Watu wa Sodoma na Gomola walijiumba!? Kama unawajua watu hao utakuwa umenielewa.
Nyie ndio mnafanya JF siku hizi kionekane kijiwe cha wajinga.Lisu kama alikuwa anafanya hivyo alistahili alichopata!
Nilitoa maoni humu kwamba, huenda Lisu zile harakati zake za toka miaka ya 90 kupigania madini zilikuwa zinamnufaisha yeye binafsi ndio maana alipoona Jpm yuko serious akaamua sasa ageuke kinyonga.
Kuhusi hao waliosaini mikataba, hao tunawasamehe maana walikuwa enzi na akili za kimangungo!
Lakini haka kajamaa haka kako kizazi cha wasomi kumbe kana uza nchi live?
Inahusianaje na niliyo andika? Mbona una akili nzito utadhani ni Katibu wa ccm wa kata?Kwa hiyo kamanda una maanisha Tundu Lissu ndio alikuwa ana wasiliana na amabeberu kutuhujumu na kutusaliti?
Nasikia ilikuwa mchana kati ya saa sita na saa nane! Nadhani najadiliana na mtu mzima anayejielewa.Nadhani najadili hili na mtoto mdogo au MTU mzima asiye jielewa.
Mungu anaadhibu wakosaji lakini haadhibu kwa usiri kutumia watu wasiojulikana.
Anaogopa nini mpaka afanye kwa usiri mkubwa? Ukitaka kumhusisha Mungu jambo lolote kaa chini utafakari kwanza ukuu wake na sio kuropoka tuu
Aweze jpm ashindwe lissu?Huyu jamaa hafai kua rais wa JMT. Labda chadema waanzishe cheo kipya cha rais wa mpe lissu lakini kwa JMT hawezi kabisaàaa.
Yani kilaza Kama wewe umzidi akili lissu Hadi ujue anajianika.Basi alipata alichostahili!
Na huyu anazidi kujivua nguo! Anafikiri anaongea ukweli kumbe anajianika jinsi alivyokuwa analisaliti taifa!
Subiri tutamuinesha adhabu yake hapo oktoba.
Ndiyo ukweli,na bahati nzuri karudi na hatatoka hadi amalize kesi zake na zingine zinakuja soonKusema kwamba Lisu kajisema alikuwa anasaliti nchi ni ujinga?
Kwahiyo Lissu anakili yeye ni msaliti?View attachment 1543623
Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017.
Akihutubia umati wa wananchi, alikumbushia historia ya tukio lake la kumiminiwa risasi, ambapo aliponea chupuchupu kuuawa na kukimbizwa nchi za nje kwa matibabu.
Akisimulia mkasa huo alieleza kuwa kuna "connection" kati ya hotuba aliyoitoa Rais Magufuli, ya uzinduzi wa ripoti ya tume ya madini, masaa takribani mawili, kabla ya kupigwa kwake risasi, aliyotoa akiwa Ikulu, jijini Dar-es-Salaam.
Aliendelea kueleza kuwa katika hotuba hiyo aliyotoa Rais Magufuli, ambayo alidai ipo ndani ya YouTube, alimnukuu Rais akiyatamka maneno yafuatayo "Katika mapambano ya kijeshi, huwa wana kawaida ya kumwua, askari yeyote ambaye anawasiliti katika mapambano yao, vile vile katika vita ya kiuchumi ambayo nchi yetu inapigana hivi sasa, hatuwezi kuruhusu ku-survive kwa mtu mmoja, ambaye imebainika amekuwa akiwasiliana mwanasheria wa kampuni hiyo ya madini, Deo Mwanyika, ili kumwibia taarifa mbalimbali nyeti, katika lengo lao wakishirikana na mabeberu kutoka nje ya nchi, katika kutuhujumu malipo yetu ya madini, hastahili kabisa ku-survive" mwisho wa kunukuu.
Tunajua kuwa katika tukio hilo la kupigwa kwake risasi mwaka 2017, Tundu Lissu, Jeshi la Polsi limekuwa likutaaminisha kuwa uchunguzi wa tukio hilo unakwamishwa na Tundu Lissu, muhanga mkubwa wa tukio hilo, pamoja na Dereva wake, ambao wote walikuwa wameenda nchi za nje kwa matibabu.
Hivi sasa Tundu Lissu amesharudi nchini na amewapa "hints" ya kilichompata siku ile ya kutisha sana, ambapo "watu wasiojulikana" walimpiga risasi mfululizo 16 mwlini mwake katika jaribio la kutaka kumwua na ameeleza mwenyewe nini kilimtokea siku ile, ambapo Jeshi letu la Polisi, limekuwa likidai kuwa limekwamishwa kuendelea na uchunguzi wake, kutokana na kukosekana ushahidi huo wa Tundu Lissu
Kwa hiyo nadhani Jeshi la Polisi lingeanza kufanyia uchunguzi wa tukio lile sasa, kwa "hints" alizozitoa yeye mwenyewe muathirika wa tukio lile Tundu Lissu.
Mnalo..poleni sanaKama vile ilivojulikana mama ako kumpokelea mahari ya jogoo
Mkuu usinilishe maneno, yeye ndio kasema alipigwa risasi sababu ya usaliti kwa nchi