Kama ni kweli!
Siwezi kuwa rais mwenye mamlaka yote aalafu badala ya kutumia muda wangu kuwaletea wananchi maendeo nianze kukimbizana mahakamani na masaliti wa nchi ninayoiongoza.
Poteza endelea na mambo mengine.
Dunia hii ina kanuni zake za kuishi.
Akili yako unaijuwa mwenyewe Rais siyo mtu ni tasisi kuna watu wanalipwa mshahara kwa kusimamia sheria. Kwahiyo unakuwa na muda wa kurusha vijembe majukwani halafu huna muda wa kumfikisha mtuhumiwa mahakamani na umeapa kulinda katiba mtu anakiuka sheria uliyoapa kulinda unasema huna muda sasa ulikula kiapo cha nini