Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

Sasa aliesema kapigwa risasi kwa usaliti ni Lisu au meko?

Usiwe na ubongo kama wa mende
Nani msaliti? Lissu amekuwa akipambania rasilimali za nchi hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa tangu enzi ya Mkapa.

Baada ya hiyo ambayo huyo baba ako anaiita vita ya uchumi, makinikia bado yapo pale Dar?
Sio yeye aliyetoka hadharani na kukiri kuwa hao mabeberu (wa Barrick) ni wanaume kweli kweli baada ya kuahidiwa kishika uchumba cha $300m?

Walilidanganya taifa na wale maprofesa uchwara kuwa tunawadai Barrick zaidi ya $195b (zaidi ya trilioni 450) na kwamba tukilipwa fedha hizo zinaweza kumpatia kila mtanzania noah, kuna hata senti imelipwa hadi leo?

Taarifa zilizokuwa zikiombwa na Lissu ni kuhusu mikataba waliyoingia Barrick na serikali ambayo ilisainiwa ili kuweka ukweli hadharani, huku huyo Jiwe akiwa kaufyata na anaunga mkono hoja bungeni then leo anajifanya mtetezi.

Kwa kifupi Jiwe ndio msaliti na mnafki namba moja nchi hii
 
sasa polisi wa nchi hii wanakwama wapi
Polisi wanakwamishwa na wanahusika wenyewe. Mtu ambae anaweza kuisadia polisi anafichwa tena kwa gharama yoyote. Na nina mashaka kuna siku tutaambiwa hajulikani alipo. Yaani akapotezwa mazima.
 
Mkuu ulitaka Tundu Lisu afate utaratibu gani wakati alikua mahututi karibu kukata roho?
 
Tuhuma zipi za uongo? We hili suala la Dereva halikufikirishi? Kwanini anafichwa mpaka Leo? Weka ushabiki pembeni upe ubongo wako walau dakika 2 utafakari utaona kuna jambo lina mantiki hapa.

Wewe na wengine mnaokuja na hoja kama hizo ni wajinga. Uhalifu mkubwa umefanyika katika eneo la makazi ya serikali, huku ulinzi ukiwa umeondolewa bila maelezo yoyote, halafu unakuja na hoja za kipuuzi?

Serikali ingetaka kweli kumuhoji dereva unadhani inashindwa? Umewahi kusikia kitu kinaitwa Interpol?

Kwenye hili suala hakuna pa kujificha, najua mnatambua hilo. Hata muda hauko na nyie tofauti na mnavyodhani. Mngelimaliza kwa kuomba msamaha, kulipa fidia halafu tukasonga mbele kama taifa. Badala yake mnaleta viburi.
 
Halafu mnapohoji suala la mguu wa kulia sijui mna maana gani?

Mnataka kusema shambulizi lile lote lilifanywa na dereva?

Kwamba hakukuwa na gari linalowafuata?

Kwamba dereva alificha AK47 chini ya kiti halafu sijui akaipigaje rasasi za kwanza kutokea nje huku akiwa ndani ya gari?

Halafu akaruka kutoka ndani ya gari bila Lissu kumuona anatoka na hiyo silaha?

Halafu sijui alienda kuificha wapi maana polisi hawasemi kama waliokota silaha yoyote siku ile!

Please just stoopp!!
 
Niwe tu mkweli kama ni kweli Lissu alikuwa anawasiliana na mwanasheria wa hiyo kampuni ya mgodi kwa nia ya kutuhujumu basi anastahili alichofanyiwa. Achana tu na anao watuhumu ila mzalendo yeyote ange feel proud kumuhujumu Lissu. Huwezi kuisnitch nchi ikiwa kwenye mapambano ya kupigania maslahi yake halafu watu wakuangalie tu
 
swali Ni Moja amesaliti au hajasariti??..

na kwa Nini alikuwa anatetea makampuni ya madini??

amepata anachostahili asilaumu mtu.
 
He is a lawyer. He knows the ultimate end of all this.
 
Tuhuma zipi za uongo? We hili suala la Dereva halikufikirishi? Kwanini anafichwa mpaka Leo? Weka ushabiki pembeni upe ubongo wako walau dakika 2 utafakari utaona kuna jambo lina mantiki hapa.
Kilaza ww yaan lissu amfiche dreva aliyehusika kumpiga risasi,angekua kweli dreva kahusika si angemtaja tu anamsema rais sembuse dreva
 
Tuhuma zipi za uongo? We hili suala la Dereva halikufikirishi? Kwanini anafichwa mpaka Leo? Weka ushabiki pembeni upe ubongo wako walau dakika 2 utafakari utaona kuna jambo lina mantiki hapa.
Kilaza ww yaan lissu amfiche dreva aliyehusika kumpiga risasi,angekua kweli dreva kahusika si angemtaja tu anamsema rais sembuse dreva
 
Na ndio ukweli wenyewe.....

Tundu Lissu for presidency 2020
 
Yani hawa wachunga ng'ombe hawakutaka hata tumuombee shujaa wetu...... 😒😒
 
Sasa kwanini baada ya kuona Magufuli amekuwa serious kuhusu madini badala ya kuungana nae yeye akageuka snitch?
Kwa iyo Ndo mana mlimpiga risasi! Asante sana mnaelekea pazuri sana katika kujenga ushahidi wetu!
 
Wajumbe wa NEC mwacheni huyu mtu aingie kwenye uchaguzi mkuu msije mkawa kama wajumbe wa kawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…