TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kwa hiyo mtu huyo aliyekuwa ajaribu kuiba taarifa mbalimbali nyeti kwa lengo la kushirikiana na mabeberu katika kutuhujumu malipo yetu ya madini "@NI YEYE"!?"Katika mapambano ya kijeshi, huwa wana kawaida ya kumwua, askari yeyote ambaye anawasiliti katika mapambano yao, vile vile katika vita ya kiuchumi ambayo nchi yetu inapigana hivi sasa...
Hili jambo Lumumba wanakuwa wagumu kuamini. Wanalipokea kwa uchungu sana kama taarifa za kifoVumilia tu. Huyo ndo Raisi wako kuanzia October 2020 hadi October 2025
Kwa ni uongo si kweli alikuwa anakwamisha juhudi za vita vya kiuchumi kwa jina la makanikia ambavyoTaifa lilikuwa likipambana na wale wezi wa madini. Kwani ni uongo kuwa alikuwa msaliti akitaka kukwamisha vita hiyo. Ajitafakari kaacha tabia yake ya usaliti na uasi au anaiendeleza kwa style nyingine?
Watu wa Sodoma na Gomola walijiumba!? Kama unawajua watu hao utakuwa umenielewa.Mumekosa LA kusema hadi MNA kufuru. Mungu yupi huyo anayetumia risasi kwa binadamu aliye muumba kwa mfano wake?
Mashetani ni hatari sana kuishi nao!
lakini mkuu si hata mh rais siku zote amekuwa akisisitiza majukwaani kwa muda wa miaka mitano kwamba "msemakweli ni mpenzi wa mungu" sasa ikiwa TL anasema ukweli huoni kwamba anaiishi kauli ya mh rais pasipo unafki?!.Huyu jamaa hafai kua rais wa JMT. Labda chadema waanzishe cheo kipya cha rais wa mpe lissu lakini kwa JMT hawezi kabisaàaa.
Huyo Deo Mwanyika wa Barrick Gold aliyesema anavujisha siri za nchi kwa Tundu Lissu na kumfunga detention miaka kadhaa na kisha kumwachia I hope sio huyo huyo waliyempitisha leo kuwa mgombea ubunge wa CCM Njombe Mjini.
Ni yeye?
Je Lisu alikuwa anaifanyia nchi usaliti kama ilivyoelezwa hapo juu?
Ustadhi upoTundu Lisu kaadhibiwa na Mungu, some punishment is just, na bado, ...
Wanaomshabikia huyu jamaa wao wenyewe hawajui kitu. Kila uchao ni kuhubiri chuki na hisia tu za kuonewa dhidi ya rais na vyombo vya dola. Atangaze sera kama dokta Slaa aliipaisha Chadema kwa sera sio uzushi na kutunga maneno.Huyu jamaa hafai kua rais wa JMT. Labda chadema waanzishe cheo kipya cha rais wa mpe lissu lakini kwa JMT hawezi kabisaàaa.
Je Lisu alikuwa anakisaliti taifa?
uchaguzi ukiwa HURU na HAKI anapata 45+Lisu hapati zaidi ya 20%
Watu wengi humu mnaona nafanya propaganda ila huo ndio ukweli
Mbona nyingi sana hizo. 10% tu kuzifikia ni issue. Waache wapigiane kelele mitandaoni na boda boda wanaoenda kuwajazia mafuta vituoni wakuze halaiki na misafara.Lisu hapati zaidi ya 20%
Watu wengi humu mnaona nafanya propaganda ila huo ndio ukweli
Lisu kama alikuwa anafanya hivyo alistahili alichopata!
Nilitoa maoni humu kwamba, huenda Lisu zile harakati zake za toka miaka ya 90 kupigania madini zilikuwa zinamnufaisha yeye binafsi ndio maana alipoona Jpm yuko serious akaamua sasa ageuke kinyonga.
Kuhusi hao waliosaini mikataba, hao tunawasamehe maana walikuwa enzi na akili za kimangungo!
Lakini haka kajamaa haka kako kizazi cha wasomi kumbe kana uza nchi live?
Wanaomshabikia huyu jamaa wao wenyewe hamnazo kichwani. Kila uchao ni kuhubiri chuki na hisia tu za kuonewa dhidi ya rais na vyombo vya dola. Atangaze sera kama dokta Slaa aliipaisha Chadema kwa sera sio uzushi na kutunga maneno.
BTW hicho anachofanya asubiri panga la NEC
Mungu wa CCMTundu Lisu kaadhibiwa na Mungu, some punishment is just, na bado, ...
Una uhakika kafichwa au usha kuwa brainwashed na CCM?Tunamtaka dereva wa Tundu Lissu ili tuuanze uchunguzi rasmi, kwa nini dereva anafichwa?