Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

Mawakala wa shetani mnajaribu kwa njia zote kuhalalisha ushetani wenu.
Damu ya binadamu ikimwagika, no matter ni mkosaji au si mkosaji,lazima aliyeimwaga atapata malipo hapahapa duniani kabla ya moto wa jehanamu (kama akifa hajatubu).
Absolutely true
 
Rubbish, waliosaini mikataba yeye jiwe akiwemo ndani ya serikali, hakuwachukulia hatuayoyote, na alichosema lissu in kuwa tutashtakiwa, na kweli tunashtakiwa, na kusema ukweli lini no usaliti? Nyinyi wanafiku wakubwa wapenda madaraka ndio mlipiga majofi na kuwazomea wabunge waliokua wanapinga hii mikataba Leo mnajiita wazalendo!

Wewe pepo la mizimu ya kqenyu ulikuwa unatataka madhaifu ya huko nyuma yasipatiwe mwarobaini? Ulitaka nani afanyè hiyo kazi ya kurekibisha makosa ya huko nyuma. Ambacho huwezi kukamusha hata hivyo ni kwamba Lissu katamka hadharani yeye na genge lake walikuwa wasaliti wa Watanzania kwa tamaa zao binafsi. Kwamba hata huko nyuma kutoka kwao bungeni kujidai wanapinga mikataba mibovu tuliyoingizwa nia yao ilikuwa si kupinga kwa maslahi mapana ya wananchi wote bali, bali,bali ni janja tu ya kutafuta nao wawe sehemu ya majadiliano ya hiyo mikataba.
 
Hamna kitu hatari kama "A wounded animal" Kama unabisha kampige Mbogo risasi moja tu ya sikio halafu usubirie mziki wake
Mliyataka wenyewe sasa pambaneni na hali yenu

Lisu ni aina nyingine kabisa ya Mtanzania, hana kona wala unafki
Hakika kaka. uko sawa. mungu hulipa hapa hapa duniani
 
Mkuu, ukiacha hii nimeona comments zako huko juu pia, nahisi una tatizo la comprehension. Maana unapojibu hoja, mtu anaweza akahisi umemquote kimakosa.

Jifunze kusoma ili uelewe usisome ili ujibu.

Rudi kaangalie ulipoitoa hii nilimqoute member flani. JF ni kokokolo kiongozi wote hapa si mangwini. Kama umenielewa yatosha.
 
Lissu katuhumu upande mmoja kuwa ulitamka kuwa msaliti yeyote hastahili kuishi.
Je msaliti akigunduliwa hastahili kwanza kukamatwa ?
Kupelekwa mahakamani?
Uchunguzi kufanyika?
Kupewa nafasi ya kujitetea?
Na akipatikana na hatia kupewa adhabu?
Na je adhabu ya msaliti ikoje kisheria,Ni kifungo,kifungo na faini ama kunyongwa mpaka afe?
Au Ni kutumia magenge ya wahalifu Kama Hawa wasiojulikana ya kuua na kukimbia?
Je kushambulia kwa mtindo alioshambuliwa Lissu sio uvunjaji wa sheria?
Walishindwaje kumkamata na kumshitaki mahakamani?
Marekani na Urusi ni mahasimu wakubwa mno,lakini nchi mojawapo ikikamata msaliti au hata jasusi wa nchi hasimu huwapeleka mahakamani na kufungwa.
Kama ilijulikana fulani Ni msaliti msaliti adhabu yake Ni kufa bila kuhojiwa,kushitajiwa na kuhukuniwa kwa njia za kisheria.?
Wataalamu imekaaje hii.?
Umenikumbusha wale wasiojulikana ambao hawatakiwi wajulikane
 
Tunapokuwa katika Vita Kama hivi yaani vya makinikia halafu Kuna mtu anakuwa kinyume huyo Ni adui na adui katika Vita huwa.......
 
Dah
View attachment 1543623
Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017.

Akihutubia umati wa wananchi, alikumbushia historia ya tukio lake la kumiminiwa risasi, ambapo aliponea chupuchupu kuuawa na kukimbizwa nchi za nje kwa matibabu.

Akisimulia mkasa huo alieleza kuwa kuna "connection" kati ya hotuba aliyoitoa Rais Magufuli, ya uzinduzi wa ripoti ya tume ya madini, masaa takribani mawili, kabla ya kupigwa kwake risasi, aliyotoa akiwa Ikulu, jijini Dar-es-Salaam.

Aliendelea kueleza kuwa katika hotuba hiyo aliyotoa Rais Magufuli, ambayo alidai ipo ndani ya YouTube, alimnukuu Rais akiyatamka maneno yafuatayo "Katika mapambano ya kijeshi, huwa wana kawaida ya kumwua, askari yeyote ambaye anawasiliti katika mapambano yao, vile vile katika vita ya kiuchumi ambayo nchi yetu inapigana hivi sasa, hatuwezi kuruhusu ku-survive kwa mtu mmoja, ambaye imebainika amekuwa akiwasiliana na mwanasheria wa kampuni hiyo ya madini, Deo Mwanyika, ili kumwibia taarifa mbalimbali nyeti, katika lengo lao wakishirikana na mabeberu kutoka nje ya nchi, katika kutuhujumu malipo yetu ya madini, huyo mtu hastahili kabisa ku-survive" mwisho wa kunukuu.

Tunajua kuwa katika tukio hilo la kupigwa kwake risasi mwaka 2017, Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limekuwa likutaaminisha kuwa uchunguzi wa tukio hilo unakwamishwa na Tundu Lissu, muhanga mkubwa wa tukio hilo, pamoja na Dereva wake, ambao wote walikuwa wameenda nchi za nje kwa matibabu.

Hivi sasa Tundu Lissu amesharudi nchini na amewapa "hints" ya kilichompata siku ile ya kutisha sana, ambapo "watu wasiojulikana" walimpiga risasi mfululizo 16 mwlini mwake katika jaribio la kutaka kumwua na ameeleza mwenyewe nini kilimtokea siku ile, ambapo Jeshi letu la Polisi, limekuwa likidai kuwa limekwamishwa kuendelea na uchunguzi wake, kutokana na kukosekana ushahidi huo wa Tundu Lissu

Kwa hiyo nadhani Jeshi la Polisi lingeanza kufanyia uchunguzi wa tukio lile sasa, kwa "hints" alizozitoa yeye mwenyewe muathirika wa tukio lile Tundu Lissu.

Dah huyu jamaa ni muongo kinyama asee.... Wala magu hajaongea hvyo alivyosema ... Magu hakusema neno they do not deserve to survive....
Nimesikiliza hotuba ya magu ya dakika 47:52 hakuna maneno ambayo lisu anayasema magu aliyaongea
Magu alisema inauma kuwa na wasaliti ila akasema tuwaelimishe kwamba tuko katika vita ya kiuchumi....
Huyu jamaa its true katumwa na hataaibika vibaya sana
Kama mnakumbuka hotuba yake ya dodoma alisema in 5yrs magu kakopa trillioni 40 na usheee and this is a big uwongo pia...
Chadema kumpitisha huyu jamaa mmebugi sana
Boya anadharau kinyama eti maprofesa wa nini nini sijui dah huyu astaili hii nchi kabisaaaa
 
Kwahiyo lisu amekiri kuwa yeye Ni msaliti Ila anauliza taratibu za kumuhukumu msaliti Kama ilivyo eleza wewe mleta mada
 
Lissu katuhumu upande mmoja kuwa ulitamka kuwa msaliti yeyote hastahili kuishi.
Je msaliti akigunduliwa hastahili kwanza kukamatwa ?
Kupelekwa mahakamani?
Uchunguzi kufanyika?
Kupewa nafasi ya kujitetea?
Na akipatikana na hatia kupewa adhabu?
Na je adhabu ya msaliti ikoje kisheria,Ni kifungo,kifungo na faini ama kunyongwa mpaka afe?
Au Ni kutumia magenge ya wahalifu Kama Hawa wasiojulikana ya kuua na kukimbia?
Je kushambulia kwa mtindo alioshambuliwa Lissu sio uvunjaji wa sheria?
Walishindwaje kumkamata na kumshitaki mahakamani?
Marekani na Urusi ni mahasimu wakubwa mno,lakini nchi mojawapo ikikamata msaliti au hata jasusi wa nchi hasimu huwapeleka mahakamani na kufungwa.
Kama ilijulikana fulani Ni msaliti msaliti adhabu yake Ni kufa bila kuhojiwa,kushitajiwa na kuhukuniwa kwa njia za kisheria.?
Wataalamu imekaaje hii.?
Rubbish,wewe na Lissu nembwa
 
Wewe pepo la mizimu ya kqenyu ulikuwa unatataka madhaifu ya huko nyuma yasipatiwe mwarobaini? Ulitaka nani afanyè hiyo kazi ya kurekibisha makosa ya huko nyuma. Ambacho huwezi kukamusha hata hivyo ni kwamba Lissu katamka hadharani yeye na genge lake walikuwa wasaliti wa Watanzania kwa tamaa zao binafsi. Kwamba hata huko nyuma kutoka kwao bungeni kujidai wanapinga mikataba mibovu tuliyoingizwa nia yao ilikuwa si kupinga kwa maslahi mapana ya wananchi wote bali, bali,bali ni janja tu ya kutafuta nao wawe sehemu ya majadiliano ya hiyo mikataba.
Hebu tumia akili kudogo tu, ukiwa na mkataba mkononi tayari unatayarishaje mwingine ktk jambo lile Vila kuvunja Wa kwanza? Jijibu mwenyewe, huyu jiwe in mpumbavu anaependa sifa, anataka kupanda ghorofa kwa kuanzia floor ya juu kabisa! At the end nothing. achieved, hakuna, angekua serious angeanza na walio saini mikataba mibovu halafu akatumia weledi kujadiliaba na wachimbaji, sababu hats wao wanajus wanatuibia, ili kuweka mazingira mazuri wange-respond +vely
 
Dah

Dah huyu jamaa ni muongo kinyama asee.... Wala magu hajaongea hvyo alivyosema ... Magu hakusema neno they do not deserve to survive....
Nimesikiliza hotuba ya magu ya dakika 47:52 hakuna maneno ambayo lisu anayasema magu aliyaongea
Magu alisema inauma kuwa na wasaliti ila akasema tuwaelimishe kwamba tuko katika vita ya kiuchumi....
Huyu jamaa its true katumwa na hataaibika vibaya sana
Kama mnakumbuka hotuba yake ya dodoma alisema in 5yrs magu kakopa trillioni 40 na usheee and this is a big uwongo pia...
Chadema kumpitisha huyu jamaa mmebugi sana
Boya anadharau kinyama eti maprofesa wa nini nini sijui dah huyu astaili hii nchi kabisaaaa
Alichosema Lissu ndiyo ukweli wenyewe kwa asilimia 100.

Na ametoa assignment kwa yeyote anayembishia, aitazame hiyo YouTube ya tarehe 7/09/2017
 
Mlishindwa
Msaliti haitaji kuishi kabisa kwan yeye mwenyewe kuifanya hiyo kaxi ni sawa na muuwaji kabisa. Km kweli yeye ni msaliti kam alivyojiisi hata mm niko tayari kujifunga bomu nife naye ila nchi yangu iwe salama
Mlishindwa Nini kumkamata Kama ji msaliti?
Kwa hiyo serikali siku hizi inatumia magenge ya wahalifu kutoa adhabu?
Huoni Kama Ni hivyo huoni kuwa huo pia Ni uvunjaji wa sheria?
 
Kwahiyo lisu amekiri kuwa yeye Ni msaliti Ila anauliza taratibu za kumuhukumu msaliti Kama ilivyo eleza wewe mleta mada
Kwa tafasiri yako,Mimi nahusisha kauli iliyotolewa na Mtu fulani kuwa msaliti lazima auwawe.je adhabu ya msaliti inatolewa na Mtu sio Mahakama?
 
Back
Top Bottom